Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!
We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma
NB...
Wadau, Watanzania wamechoka na huu utawala. Yani Tiktok ni mtandao ambao wabongo wameu criticise sana ila kwa sasa ndio mtandao unaoongoza kwa kutokuwa na vijana waoga
Nyie, kumbe ukiwa...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba radhi watumiaji wa mabasi ya mwendokasi kutokana na upungufu wa mabasi, akiwahakikishia kuwa muda wowote tatizo hilo litatatuliwa.
Soma >...
Leo bwana mda huu inaonekana wale walioacha kuutumia huu usafiri wamerudi hivyo kufanya hali iwe ile ile maana yake abiria wameongezeka mara 2 na hizo gari bado ni chache wasipojipanga watapangwa...
Mwanamke mwenye umri wa miaka 36, makazi wa Mtaa wa Kilimanjaro, Kata ya Kihonda – Morogoro, amefariki dunia akidaida kufanya jaribio la kutoa ujauzito.
Nini kifanyike ili kuzuia matukio kama...
Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete.
Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani...
Wana jamii juzi jumapili tarehe 28-09-2025, kuna dogo aliniambia kapata kazi ya kuwa tingo(tanboy) wa magari makubwa ya masafa marefu. Hivyo basi kuna mahali amekwama kiasi kidogo cha pesa...
Kutokana na kero ya usafiri na uhaba wa mabasi ya mwendo kasi, wananchi wenye hasira kali wamevamia ofsi za tiketi na mabasi ya mwendo kasi na kuanza kupasua vioo na kuumiza wafanyakazi wa kampuni...
Abiria ambao walikuwa kwenye usafiri wa daladala Eicher T 798 EDZ walijikuta katika taharuki baada ya gari hilo ambayo walikuwa wanasafiria kutoka Masaki kwenda Gongolamboto kuwaka moto kwa chini...
Hapa kushusha presha za watu kuna watu wanaweza kupoteza haki zao au kuwekwa sehemu ya serikali ya CCM kuonekana kuwa utekaji ni wananchi.
Hii ripot ya Mbeya, Iringa na sasa kuna watu washawekewa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022...
Yer 13:23 SUV
[23] Je! Mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoa-doa yake? Kama aweza, ndipo na ninyi mwaweza kutenda mema, ninyi mliozoea kutenda mabaya.
Nabii Yeremia ametumia picha...
Kutoka kwenye account ya Hilda Newton kule X ameandika taarifa hii
==================
Mjumbe wa Kamati Tendajji ya Chadema Wilaya ya Busega Mhe. Lobezi Kuliko Masanya ametekwa na watu...
Mgombea Udiwani wa Kata ya Igawilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Msole Sanga amepongeza jitihada za Dkt. Tulia Ackson kwa namna alivyowasaidia wananchi wa kata hiyo pamoja na Jimbo...
Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ametoa wito kwa watanzania kuwa wavumilivu kwa changamoto ya uchache na ubovu wa mabasi ya mwendokasi kwani changamoto hiyo inakwenda kupatiwa...
Ndugu WanaJF,
Mungu ni muuaji ambaye amefanya mauaji ya halaiki mara kwa mara na wote tumeyasoma kwenye simulizi za biblia.
Pamoja na hivyo, bado shetani analaumiwa zaidi kwa kudaiwa...
Wakuu kuna ile hofu inanitawala akilini mwangu kuhusu hali ya kipato stahimilivu (income sustainability).
Hivi nikipoteza kazi leo, mchongo, serious accident even death mke wako or mumewako...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonyesha kutoridhishwa na kusuasua kwa mradi wa ujenzi wa mabweni mawili katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Ifingo, iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.