Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemfutia kesi ya kujiteka na kutoa taarifa ya uwongo mtandaoni iliyokuwa ikimkabili Padre Jodan Kibiki wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyololo, Jimbo la Mafinga baada...
Ukiacha li nchi hili tunalolijua ambalo lina watu milioni sabini lakini linatawaliwa na kanchi kenye watu milioni 2 nanusu!
Nchi hilo ambalo limejaa wajinga wengi, yani tofauti ya msomi na...
Yer 12:1 SUV
[1] Wewe u mwenye haki, Ee BWANA, nitetapo nawe, lakini nitasema nawe katika habari ya haki. Mbona njia ya wabaya inasitawi? Mbona wote watendao hila wanakaa salama?
Jambo la...
Mahakama Kuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewahukumu kunyongwa hadi kufa Sophia Mwenda mwenye umri wa miaka 64 na mwanawe Alphonce Magombola (39) baada ya kuwatia...
Jamani rafiki zangu jilipotea nikijua nina shida kwenye app yangu hahaha na nilijua labda JF wameniblock jaman kumbe na huku mpaka VPN hahahha.
Ila fisiemu wanatangatanga jaman, kwani hamtaki...
Kwahiyo yanayosemwa ni uongo? Mbona kama huyu naye anatuletea mapicha picha tu hap!
================
“Wafanyakazi wanaokwenda kufanya kazi #Oman wanaharibu jina la Watanzania Nasral Jahadhamy...
Baraza la Ushauri la Wazee mkoani Simiyu limekemea na kuonya vikali tabia ya watu wachache na baadhi ya Wanasiasa wanaotumia mitandao ya kijamii kutoa kauli za ubaguzi, zinazoashiria uvunjifu wa...
Ni muda muafaka sasa kuanza kuzungumza siasa vijiweni, vijiwe vya kahawa, sehemu za biashara, migahawani, kwenye vyombo vya usafiri na hata kwenye mikusanyiko.
Huu upuuzi wa kuogopesha Watanzania...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ijayo itaendeleza jitihada za kuboresha huduma za afya mkoani Kilimanjaro...
Aisee najua watz wengi wenye maisha ya kawaida hutumia usafiri huu ili kupunguza gharama za maisha. Njia ya Kivukoni - Kimara ina bajaj lakini bado mwendo kasi ni vita ya kufa na kupona ambapo...
Namheshimu sana na mno Kaka Andrew Nyerere na nimeuheshimu Mchango wake ila sikubaliani nae kwa 100% kumzuia Rais Samia asiende Kuzuru Kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere. Ni kweli...
Leo oktoba 01, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan atawasili katika Mkoa wa Arusha Katika Jimbo la Arusha Mjini...
Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated
Matokeo yake anepokea backlash kubwa...
Ufafanuzi kuhusu risiti ya kielektroniki (EFD) ya ABC CERAMICS TANZANIA inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuondolewa kwenye mfumo wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (EFDMS).
Pia soma >...
Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga “Mafingensis" atazungumza na vyombo vya habari, kesho, 30.09.2025 saa 4 asubuhi na kutoa taarifa mintaarafu kuhusu Padre Jordan Kibiki...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, leo amefanya ziara katika kituo cha mabasi ya mwendokasi kilichopo Kimara Mwisho na kuzungumza na wananchi kuhusu changamoto ya upungufu wa...
Wakuu, husika na kichwa hapo nimelimdanyia maombi ya chuo ndugu yangu kwa ngazi ya diploma lakini kila siku nikijaribu kuingia kwenye website ya nactvet CAS mfumo unagoma.
Nashindwa kujua hii...
Katika dunia ya sasa, knowledge economy ndiyo msingi wa utajiri. Vijana wengi tuna mawazo makubwa lakini hayapati nafasi ya kugeuzwa kuwa tangible income. Nataka tuunde Digital Knowledge...
Jana zilisambazwa picha za watawa wa shirika la Masista wa Africa wabenedictino huko Ndanda wakiwa wamevalia skafu za Ccm na kushika mabango ya Ccm ,pia wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa ccm na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.