Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema upungufu na kutokuboreshwa kwa Mabasi ya Mwendokasi ni vitendo vya kuwahujumu Wananchi wanaotumia usafiri huo ni hujuma dhidi ya juhudi za...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Wananchi wilayani Same mkoani Kilimanjaro wameonesha imani yao kwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) Dk Samia Suluhu Hassan wakieleza kuwa watampatia ushindi wa...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Wakazi wa mji wa Bukavu uliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisia ya Congo wamesema kuhukumiwa kifo kwa rais wa zamani, Joseph kabila, hakutaleta amani ambayo wanatamani, ila itaongeza hali...
0 Reactions
1 Replies
229 Views
Kuna hii mada yangu niliandikq mwaka 2016 miaka minne hivi baada ya kujiunga JF.. Lakini kiuhalisia ni mada niliyoiandika kwenye daftari mwaka 1998 ikiwa ni maandalizi ya kuandika kitabu (6,646)...
3 Reactions
16 Replies
841 Views
Hatutahitaji ruhusa ya nchi yeyote ile kwenye hili swala Petrochemical plant ni kiwanda kinachotengeneza raw materials kwa ajili ya bidhaa za plastics kama Ndoo, vikombe, mifuko n.k matanki nguo...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Wasafiri wa ndege nchini Tanzania sasa wanaweza kufurahia urahisi wa kulipia tiketi zao kupitia simu za mkononi, kufuatia makubaliano kati ya Shirika la Ndege la Dubai flydubai na Kampuni ya...
0 Reactions
1 Replies
209 Views
Hawa wasanii bwana, vituko haviishi! Badala ya kusimama kidete na kuwa sauti ya wananchi, wao wameamua kuendeleza uchawa na kujipendekeza bila aibu. Angalia sasa huyu Steve Nyerere, alivyojigeuza...
0 Reactions
5 Replies
247 Views
YAJUE MAJINI KWA UNDANI - Neno majini linatokana na neno maji " sababu element ya majini ni maji na sio moto " - Majini hupendelea kuishi na kukaa baharini, mtoni, ufukweni zaidi. - Majini ni...
14 Reactions
248 Replies
9K Views
Wana JF, Kuna jambo linanitesa kichwani siku hizi: mapambano yasiyo rasmi kati ya kizazi cha zamani cha wanasiasa na kizazi kipya. Tukiri ukweli: Kizazi cha zamani cha wanasiasa (waliobeba...
0 Reactions
2 Replies
262 Views
Kundi la wafanyabiashara wanaokodisha nyumba mtandaoni kupitia platform kama AirBNB, Booking.com nk ndilo linatakiwa kuanza kujisajili mara moja, wakati wafanyabiashara wanaofanya uwakala...
2 Reactions
8 Replies
527 Views
Takwimu zipo katika kiini cha maendeleo, zikichochea maamuzi na uwekezaji unaosaidia kupunguza umasikini na kujenga mustakabali endelevu. Hata hivyo, mifumo mingi ya kitaifa ya takwimu katika nchi...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Habari Tanzania ! Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza. Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu...
4 Reactions
23 Replies
741 Views
Bei za mafuta ya petroli na dizeli zitakazotumika Oktoba mwaka huu nchini zimeendelea kupungua kwa kiwango tofauti ikilinganishwa na zilizokuwepo mwezi uliotangulia, huku upande wa mafuta ya taa...
1 Reactions
0 Replies
247 Views
Tarehe 17/07/2025 Mahakama ya Wilaya ya Mbulu katika shauri la uhujumu uchumi (ECC. No. 13987/2025) imemtia hatiani mshtakiwa Mtendaji wa Kata ya Kainam Bw, ELIWANGU FADHILI MKUMBWA kwa kosa...
2 Reactions
11 Replies
593 Views
MAHAKAMA ya Wilaya Mbeya imemuhukumu Mfanyabiashara Benedicto Abel Matandiko wa Jijini la Mbeya adhabu ya kutofanya Kosa lolote la Jinai ndani ya miezi 6 baada ya Kutiwa hatiani kwa Makosa ya...
1 Reactions
4 Replies
487 Views
Hawa watumishi ni muhimu sana, lakini tunajua kazi zao, maana bado maendeleo ni kizungumkuti, vijana wanahama miji yao kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine. Japo sio vibaya wao kuhama, lakini...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Wote Mrema na Polepole walijiuzulu kutoka nafasi zao za juu ndani ya chama na serikali. Wote baada ya kujiuzulu nafasi zao ndani ya chama na serikali wakawa wakosoaji wakuu wa chama na serikali...
0 Reactions
3 Replies
291 Views
Kuhalisia watoto wadogo wa miaka miwili hadi minne huwa wanapelekwa vituo vya kulelea watoto ( Day care ) ambavyo viko chini ya wizara Afya na ustawi wa jamii maalum kwajili ya wazazi ambao wako...
8 Reactions
6 Replies
498 Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Wilaya ya Muleba, imeendelea na zoezi la kuwaelimisha wafanyabiashara kuhusu umuhimu wa kulipa kodi kwa wakati, huku ikiwataka wamiliki wa nyumba za kulala wageni...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Chaneli zipo free tu sijui kuna aliyebonyeza kitufe kisichotakiwa kubonyezwa
7 Reactions
26 Replies
945 Views
Back
Top Bottom