Kulingana na muelekeo wa nchi ulivyokuwa , kuna idadi kubwa ya wananchi wanatamani nchi iongozwe na jeshi.
Lakini swali la msingi kuna faida zipi na hasara ipi nchi ikiwa inaongozwa na jeshi...
CODE DMZ:
Kuna chama sasa kinaona kinaelekea kuwa msituni kuangalia upepo wao kuishi madarakani mpaka mayai yao na hiki chama?
Kinachoelekea ni hatari sana.Siwezi kuwa muwazi kuna meri zitakuja...
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, ameziagiza Mahakama za Wilaya na Mahakama za Hakimu Mkazi kuhakikisha zinamjulisha kila mtuhumiwa iwapo kosa linalomkabili linastahili dhamana, kama sehemu ya...
Baadhi ya abiria wa mabasi yaendayo haraka maarufu kama Mwendokasi katika kituo cha Kariakoo wameeleza kuridhishwa na mwenendo wa mabasi hayo kwa siku mbili zilizopita tangu ujio wa mabasi mapya...
Kuna makampuni unaweza kudhani yalianzishwa kijijini yamefungua branch mjini, wafanyakazi zaidi ya 50 % ni wa kabila moja.
na kupeana nafasi ni rahisi sana kwasababu hata protokali za ajira ni...
I cannot prove it today, but I feel it deep within that 2025 will mark a turning point; one of Tanzania’s greatest years since colonial rule was broken.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju amewacharukia mawakili na wadau wa mahakama kwa kushindwa kutumia vyema mamlaka waliyo nayo na kusababisha kuchelewa au kusuasua kwa kesi ambazo...
Mwanaume anayefahamika kwa jina la Issa Ramadhani (35), mkazi wa Mtaa wa Mnyakongo, Kata ya Nkuhungu, jijini Dodoma, anatuhumiwa kwa kumbaka na kuwalawiti watoto watatu wenye umri chini ya miaka...
Kutokana na hizi changamoto ambazo zinazidi kuwa kubwa za usafirishaji wa abiria kwa njia ya mwendokasi, nimewaza ni kwa nini wenye mabasi ya coaster ya private (yale yasiyo na rangi maalumu za...
Katika kipande hiki cha video, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba anaonekana akijigamba huku akimnadi mgombea udiwani wa jimboni kwake kwa kuwataka wananchi wamchague sababu ameshikana mkono na mtia...
Mbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza leo Oktoba 4, 2025 Kwenye Kongamano la Mawakili Wanawake kuelekea Uchaguzi Mkuu amesema "Hakuna Taasisi inayokulipa mshahara kwa ajili...
Leo katika kusoma soma Zangu ni mekutana na hili, ni kakosa jibu ila nina wakika hapa jf sitakosa wana teolojia wasie endeshwa na mihemko ya Imani kunipa jibu.
Mwandishi wa Injili ya kwanza...
Akaunti ya bank inaonyesha mtoto wa Kada wa CCM ana zaidi ya billion 25 bank, je mama yake atakuwa na shingapi??
Kama huyu ana zaidi ya b25 na majumba ya kifahari na magari ya mabilion dullyboy...
Wakuu habari za jioni.
Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu.
1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo.
2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.