geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,523
- 1,432
Habari .
Leo mtaani amekuja mkuu wa wilaya pamoja na jeshi la polisi kumkamata mtoto wa miaka 12 Ambaye anaishi na kaka yake kwa kosa kupandisha bendera ya Canada kwenye mti ambao upo hapo nyumbani kwa huyo mtoto.
Baada ya kumkosa kaka wa huyo kijana wakamchukuwa mtoto nakumuweka Ndani.
Mnaojua sheria kuweka Bendera ya nchi nyingine nyumbani kwako ni kosa?.