Wakuu habarini za Sabato?
Nazungumza direct nikiwa Kalenga na Lugalo nikilitizama Bandari ya Salama na Matukio makubwa yanayoenda kutokea siku si nyingi tangu sasa.
Naona Wakuu waliogeuka ndugu...
02 October 2025
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili...
Nimepita huko mtandaoni yule mdada Diva amepost barua aliyotumiwa na bima yake ya afya, Jubilee Insurance. Barua imemtaka afute post zake kuhusu bima hiyo na aombe radhi kwa kuwa bima yake iliisha...
Wanabodi,
Mimi mwanabodi mwenzenu niko hapa Dallas, US, kuwaletea live Kongamano la Uwekezaji la DICOTA.
https://www.youtube.com/live/zQscZvJPKbg?si=C9zI_6IctB9i3In-
Bado nipo ughaibuni, kwenye...
Wakuu. Leo kuna list hapa ya baadhinya products zilizovunja record ya mauzo Duniani kutokea kutengenezwa hadi leo.
1. Magari - Toyota Corolla (50 M+)
2. Simu - Nokia 1100 (250 M+)
3. Game...
Eti wakuu, sio wanawakamata kina Mdude sijui wanaharakati mpaka mx Mello wetu mkamtishia kumpoteza sasa kajitokeza Tesha wazi wazi na zaidi ametaja mpaka alipo ni pale SAK inshort kawarahisishia...
Hivi bado tunaongeza watu tu kwenye magroup bila kuwauliza? 😅
Leo nimejikuta ndani ya kundi la "*AMINA SENDOFF" bila hata kuulizwa kama nipo tayari kushiriki au kama hali inaruhusu. Jamani, si...
Vijana wenzangu tujitokeze kwa wingi Oktoba 29, angalia majuzi watu wa Kimara wamejitoa sasa hivi wanakula kiyoyozi. Lakini wapo walioshikiliwa mpaka sasa na polisi lakini ndio walioleta...
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino cha Tanzania (SAUT), Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap., kutokana na madaraka aliyo nayo kisheria...
Wakuu! Habari,
Karibuni ktk huu uzi kwa wapenzi wa kusoma vitabu, hapa tuta share na kujadili kitabu ulichosoma kwa kuainisha hoja ambazo zina tija kwenye maisha ya kila siku mazuri na mapungufu...
Habari wakuu,
Naomba kufahamishwa eneo salama na secure la maegesho ya magari karibu na ferry.
Nahitaji kusafiri kwenda Zanzibar, niache gari kwa siku 3, nitachukua wakati wa kurudi ili kuepukana...
"Itakuwaje Rais wa nchi anaulizwa kuhusiana na raia wake atakwenda lini peponi huyu maana yake ana maswali ambayo ya madhambi yake mwenyewe hajayamaliza anaulizwa kuhusu watu wewe ulikuwa ikulu...
Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa.
Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana...
Jana Oktoba 2,,2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea vituo vya mabasi ya Mwendokasi vya Kivukoni na Kimara kukagua utoaji wa huduma na kuzungumza na wananchi.
Akiwa Kivukoni, alikutana na...
Nilikuwa nauliza hivyo tujue utaratibu uko vipi. Kuna mtu tumekuwa tukimuhusisha na muuaji ya ndugu zetu pamoja na utopeaji wa hela tunazichanga kila siku.
Ila kuna tetesi anataka kukimbia nchi...
Niki fikiria kuhusu gharama za kilimo na Bei zilizopo"
nabaki najiuliza Nini maana ya kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu?
Hebu fikilia..
Kukodi shamba ni pesa
Kulima ni pesa
Mbolea ni...
Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya...
Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.