Waziri Sophia Simba amekanusha kutoa tamko la kushutumu Chadema kupata misaada wa fedha kutoka nchi za nje kwa ajili ya kuleta machafuko nchini.
amesemea
- hajui shutuma hizi zimetokea wapi, na...
Jeshi la polisi limezuia maandamano ya kupinga uvamizi wa coalition forces yaliyotakiwa kufanyika kesho
source-tbc
My take-Naona serikali imeona ni bora kuzuia la sivyo itatucost as taifa kwa ujumla
Your brain, just brighter.
Improve brain health and performance.
Brain training produces real world benefits
Enhance memory, attention and creativity
Easy, web-based...
Habari wanaJF, hivi majuzi nilimsikia waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira akizungumzia kuwa kuna mkakati unaoitwa MKUHUMI au kwa kizungu REDD ambao lengo lake ni kuhamasisha wananchi...
Polisi wawili mkoani Mwanza wanashikiliwa mahabusu baada ya kutwangana makonde na kuumizana wakigombea kilo 30 za mihadarati.
Watu walioshuhudia tukio hilo wanasema lilitokea juzi saa 7.30...
Hii imenitoke tarehe: 21.03.2011 saa: 1437hrs.
Nilifika eneo la Bank hiyo muda huo kwa lengo la kuchukua pesa kweny Mashine pesa {ATM}zilizopo nje ya jengo hilo kamailivyo kawaida.
Awali...
Imebainika kuwa wanafunzi wengi katka vyuo vyetu nchini wanajihusisha na ghiliba/ujanjaujanja wakati wa mitihani mbalimbali au kazi wanazopewa na walimu wao,wapo wasiojihusisha kabisa na kazi...
Habari,
Katika hali ya kawaida kabisa inafahamika Katibu mkuu ndio msimamizi na msemaji mkuu wa chama. Lakini kwa CUF ni tofauti sana hasa wanapotoa kazi hii kwa naibu au mwenyekiti. Mi siijui...
Nimekuwa nafuatilia ziara ya Mkuu wetu wa nchi katika wizara juzi nikamwona anamkatalia Waziri Nundu taarifa ya mkakati wa kuboresha TRL ambapo alimwambia kwamba hauelewi na haukubali kiasi cha...
Habari
Nina kawaida ya kula nje,nimejitahidi kujibana
Breakfast. 2000
Lunch. 3500
Dinner. 2000
Maji/drinks 2500
Jumla ni alfu kumi
Sasa wadau naomba tupeana maujanja namna ya...
*Wahoji iweje JK, Pinda wamzuie kutekeleza sheria
KATIKA hali inayoashiria ni ya kumtetea waziri wa ujenzi nchini, Dkt. John Magufuli baadhi ya wananchi wameeleza kusikitishwa na mashambulizi...
Habari zilizoandikwa katika gazeti la Mwananchi zinasema kwamba "barabara inayokwenda kwa babu Loliondo inazidi kuharibika na kusababisha mamia ya wagonjwa na jamaa zao kukwama porini. Zaidi ya...
Wana JF nina wazo la kuanzisha Restaurant itakayouza vyakula vya Kichaga tu kama mtori,kiumbo,kishimba,machalari na kadhalika. Je hii biashara italipa kwa miji ya Dar es Salaam na Arusha? Pia kama...
Kila ninapomaizi kuhusu mstakabali wa Tanzania, naona ukungu wa kiza katika mambo mengi kama Watanzania wenyewe hawajaamka na kuchukua hatua za maksudi za kuinusuru hatma na mustakabali wa nchi...
Nduugu wapendwa kwanza na wapa pole wale walioathirika na hili jani leo hii naweza sema kwa bara mna afadhali..serikali ya zanzibar imeshindwa kabisa kukontrol swala la unga na kufanya vijana...
Mara nyingi huwa napenda kusoma hoja za watu na comment zao, hapo mwanzo kulikuwa kuna matusi na kejeli mtu atakuambia hauna akili hujui unachosema lakini sasa nao hayo yote ni ya kale watu...
Prime Minister to grace TMF's forum on Monday
MFUKO wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF) umeandaa kongamano kwa wadau wa habari nchini Jumatatu, Machi 28, 2011 litakalofanyika Ukumbi wa Mikutano...