Anatafutwa

Anatafutwa

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,743
4575821.png

credit Wavuti - Home
 
Huyu binti anaonekana ni above 18.Ni mtu mzima wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa.Mwambie dingi asiwe na wasiwasi,Naamini kuna mshkaji atakuwa kamtuliza kiaina!
 
kaondoka kwa mapenzi yake mwenyewe,atarudi kwa mapenzi yake mwenyewe au shida zikimpata.....
 
Huyu binti anaonekana ni above 18.Ni mtu mzima wa kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa.Mwambie dingi asiwe na wasiwasi,Naamini kuna mshkaji atakuwa kamtuliza kiaina!
tatizo ni utovu wa nidhamu na tofauti za kideen....nahisi huyu binti atakuwa kampokea BWANA YESU
 
tatizo ni utovu wa nidhamu na tofauti za kideen....nahisi huyu binti atakuwa kampokea BWANA YESU

Inawezekana huo ndiyo ugomvi wao,ila dingi anataka kupindisha mambo kwamba binti ni mtovu wa nidhamu kwavile binti ameamua kufuata njia anayoamini ni sahihi kwake.
 
Halafu akishampata amfanye nini? Wazee wengine wanajitakia presha BURE.
 
hapo kuna siri kati yao na baba yake anayemtafta mana anaonekana ni above 18
 
Inawezekana huo ndiyo ugomvi wao,ila dingi anataka kupindisha mambo kwamba binti ni mtovu wa nidhamu kwavile binti ameamua kufuata njia anayoamini ni sahihi kwake.
hata mi nazani hilo ndo tatizo-ndo maana anataka taarifa zirudi msikitini badala ya polisi-
mimi naona baba wa huyo mtoto ndo wakukamata na kupeleka kituoni maaana anaingilia uhuru wa mwanae
 
mmh wala ainogi
jitu kubwa ivo dzain anafaa ata kuwa wife wa mtu et anatafutwa..
ding itakuwa kamleta makeke bdada ndo mana kaamua kusepa....km walivyosema apo juu labda kachange din kuwa mkristu,mwislamu,kumpokea yesu iv then ding atak kusikia habar izo so kelel ming home bdada akaamua kunyanyuka

MWAMBIE MDING ABADILIKE KM ANA WATOTO WENGNE WANAWEZA KUMKIMBIA KM HANA DIPLOMAC NA WATOTO WAKE
AHESHIMU MAAMUZI YA MTU ABOVE 18
KM KAONDOKA MWENYEWE POSIBILIT ZA KURUD MWENYEW PIA NI KUBWA
 
Back
Top Bottom