Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Teen Age: have time & energy but NO MONEY. Working age: have money & energy but NO TIME3. Old age: have time & money BUT NO ENERGY!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kama vipi tuliangalie hili hapa wanafunzi wa vyuo wana lalamika kuwa 5000 kwa siku wanayopewa na heslb ni kidogo wewe unatazama vipi hii na maisha yalivyo hivi sasa bongo? Je inatosha?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
I'm wishing u all the best n success in ur national examinations (NECTA). God bless You my young broz & sisters.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kati ya Kikwete na Hosea ni yupi anayetuchezea akili? Hosea anaona rais hataki mafisadi papa waguswe. Kikwete anaonyesha hapewi taarifa za wanaohujumu uchumi hata pale anapokuwa na mashaka(mfano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada wenu: Ni week moja sasa imepita, ninashindwa kufungua account yangu ya yahoo.. Nasumbuka kweli,maana ni account pekee yenye details za mhimu sana kwangu.. Nifanyaje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukitembea Tanzania vijijini utakuta huko kuna misikiti na makanisa ambayo wanavijiji huabudu Mungu wao. Misikiti na makanisa hayo yaliyopo vijijini ni yale ambayo yamekuwepo siku nyingi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Daily mail.co.uk By Steve Doughty Last updated at 6:11 PM on 30th January 2011 An immigration officer tried to rid himself of his wife by adding her name to a list of terrorist suspects. He...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wapendwa wana jamii,hebu pata picha wewe si Mtanzania kisha ukasikia kuwa kuna sehemu kuna watu wanachuna ngozi!! kisha baaada ya muda ukasikia hukohuko wanaua vikongwe!! tena mara ukasikia kuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimefanya uchunguzi kitambo sasa kuhusu style ya uendeshaji wa madereva wa Kike hapa Dar. Nimegundua yafuatayo; 1) Hawako relaxed wanapoendesha magari, wapo tense; 2) Huvuta kiti cha dereva...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
WanaJF longtime hizo 80's-90's Wadau walikuwa wanakwenda kujivinjari sehemu ambazo kitambo hicho ndo ilikuwa kunawika vibaya sana; watu wa kitambo hicho kwa sasa maarufu kama old school. Baadhi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa wenzangu kuna kitu napenda niulize....jana ktk sherehe za ccm pale dodoma mh.mkwere alikabidhiwa zawadi na mmoja wa mkuu wa wilaya ya kule ,sasa alipewa mifugo miiingi,ndege,mazao na hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi naishukuru sana JamiiForums kwani inanifanya nipate habari nyingi na kujiona nimo katikati mwa marafiki. Asanteni sana
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani tumezoea baada ya Uchaguzi Mh. Rais hupita mikoani kuwashukuru wananchi kwa kumpa ridhaa tena ya kuongoza. Safari hii vipi mbona hapiti au kuna nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba mnisaidie hili, inakuwaje wafanyabiashara wanatutoza $ hapa kwetu kwa huduma za usafi, maji ya kisima(ya "chumvi") na ulinzi (walinzi wa kisasa a.k.a security) na serikali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
LIFE IS CRAZY.Sometime: 1: What u want u don't get it (love)2: What u get u don't enjoy it (marriage)3: What u enjoy is not permanent. (Boy/Girlfriend)4: What is permanent is boring. (husband/wife).
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ewe Mtanzania mwenzangu ,nimekuja na swali,hv unajua utajiri wako upo wapi?of course ninatambua kuwa most of tz wana-akili na hawajapata muda wa ku-expound their brains kama source ya utajiri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
DAWA za kulevya zinauzwa kama njugu kwenye mikusanyiko ya watu hususan vijana, katika miji mikubwa ikiwamo Dar es Salaam. Uchunguzi wa Mwananchi umebaini kuwa bangi, cocaine na mirungi, huuzwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa mtazamo wangu ninaona hapa kuna repitition ya maneno...kama vile inavyotokea mtu kusema barabara ya mandela road tumeona mabenki mengi yakiandika kwenye official docs na mabango yao kama vile...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kuna muelekeo kweli wa kuchukua kombe kwa staili hii? From 4-0 tu 4-4 du hii imekaa vp
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shalom, Kiambatanisho ni taarifa ya Wizara ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusiana na uhonjwa wa homa ya manjano na nini watalii wa nje na wa ndani wanatakiwa kufanya wakati wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…