Rais kuwashukuru wananchi kwa kumchagua tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais kuwashukuru wananchi kwa kumchagua tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by emrema, Feb 6, 2011.

 1. e

  emrema JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani tumezoea baada ya Uchaguzi Mh. Rais hupita mikoani kuwashukuru wananchi kwa kumpa ridhaa tena ya kuongoza.

  Safari hii vipi mbona hapiti au kuna nini?
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kachoka,huko mikoan hakuna umeme,pia kuna maswali magumu atayajibu vipi?maana hayahtaj majibu rahsi,fikiria mfumuko wa bei,unavomgusa kila mtu,je ahad zake ameanza kuztekeleza?
  bora akae aje kuwaaga tu!
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Nadhani ameshaishukuru NEC, Yatosha!
   
 4. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Atakuja tu. In fact hii ni ngwe ya mwisho!
   
 5. Rwamuhuru

  Rwamuhuru Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama atafanya namshauri ya kitaifa aje aifanyie Arusha
   
 6. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  hana muda wa kuwaste naona atakuwa anakusanya nguvu kujenga kajumba kake kule dodoma,
   
Loading...