Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu… Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu...
11 Reactions
139 Replies
1K Views
Tafadhali mheshimiwa sana rais Samia ulipata ushindi wakishindo wa 98% tafadhali tumia gari la wazi kuhutubia au kwenye viwanja vya wazi tukuone. Kuna jambo natamani kunena nawe kwa vitendo...
3 Reactions
17 Replies
176 Views
kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio...
11 Reactions
35 Replies
456 Views
Maisha yanaenda kasi sana Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum 1.Hupata taarifa za pamoja...
10 Reactions
48 Replies
705 Views
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio. Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani...
2 Reactions
21 Replies
225 Views
Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi...
7 Reactions
121 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama . Ametoa rai hiyo...
1 Reactions
4 Replies
50 Views
Hellow Great Thinkers! The LORD is good!!! Karibuni ibadani... Cc.... Mallerina
5 Reactions
16 Replies
144 Views
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026. Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu...
3 Reactions
13 Replies
463 Views
Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion Ajabu ni kuwa issue Hii...
5 Reactions
26 Replies
326 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewakabidhi wananchi hatimiliki leo tarehe 25 Septemba, 2026 jijini Dodoma wakati wa Kliniki ya Ardhi inayoendelea mkoani...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Nimeshangaa mbunge wa gairo kukopesha pikipiki 300 kwa vijana jimboni kwake, kwahiyo pikipiki ndio imekuwa ajira rasmi? Mbona kama kwa upeo wangu ni kama tunaenda kuliangamiza taifa? Mwaka jana...
8 Reactions
32 Replies
887 Views
Leo tuzungunzie Gonjwa la UKIMWI. Kuwa mvumilivu kusoma, pengine ukapata Dawa ya UKIMWI katika Makala yangu! Imenibidi nikimbie Hadi Google, nikafanye Utafiti wangu Juu ya Asili ya Ugonjwa Huu...
9 Reactions
32 Replies
609 Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo...
4 Reactions
35 Replies
764 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi...
1 Reactions
2 Replies
283 Views
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa...
3 Reactions
30 Replies
473 Views
Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita. Mimi namuunga mkono na nitamchangia...
2 Reactions
4 Replies
189 Views
NATAFUTA RAFIKI WA KWELI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU Wakuu, leo sitafuti mtu wa kunihukumu wala kunionea huruma. Natafuta rafiki mwenye moyo wa kunisikiliza, kunishauri na ikiwezekana kunishika...
2 Reactions
7 Replies
93 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…