mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 853
- 1,701
NIMESHANGAZWA NA HILI UBARIKIO WA MTOTO BAJETI MILIONI 25 KAUNDA NA KAMATI
Sema wa Tz kuna namna sijui ni kulogwa au tunachukuliana poa
Kuna mshua mmoja jana alinialika ana kikao cha maandalizi ya sherehe ya ibarikio wa binti yake Mwezi Decemba bahati mbaya sikwenda leo ananipigia kuwa kikao kilienda poa na watu wameahidi ahadi zao,,Akanambia mi natoa ngapi namwambia 30k anasema eti kiwango cha chini kwa wanakamati ni 50k(Single),,ndo ananipa dodoso kuwa Bajeti walopanga ni Milioni 25,
Ukumbi utakuwa AIM MALL nilibaki na mshangao imekuwaje wabongo wanapenda ujinga hivi Ubarikio mtu anataka mumchangie zaidi ya 20M??
Yule Father kwakuwa sisi ni watani nikamuliza kama utani kwahiyo hapo 25M ubarikio tu baada ya miaka kadhaa utatufata tena Tuchangie SendOff Ya huyo binti yako??