Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muslim Brotherhood, ilianzishwa mwaka 1928 nchini Misri, ni shirika la kimataifa la Kiislamu la Sunni linalolenga kutekeleza sharia na kuanzisha caliphate ya kimataifa. Itikadi zao zimezijenga...
7 Reactions
82 Replies
4K Views
Kikubwa tuu baadae kusiwe na lawama. Kama upo dar na maeneo ya jirani tuonane tukutane unipe KUCHA zako ulizokata au NYWELE zako kidogo tuu. (NAKUKATA MWENYEWE NITAKUJA NA WEMBE NA MKASI)...
33 Reactions
416 Replies
10K Views
Samson Josiah enzi za uhai wake. Siri ya mauaji ya watu na miili yao kukutwa kwenye viroba kando ya bahari na mito imefichuka na kuibuka na siri. Afisa mmoja wa serikali ambaye aliomba jina lake...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Tanzania inatarajia kupata mvua kubwa zitakazodumu kwa kipindi cha siku tatu kwenye ukanda wake wa Pwani kuanzia tarehe 26 hadi 28 Oktoba., kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini humo (TMA)...
0 Reactions
4 Replies
327 Views
Wakuu, Huu uchaguzi wa mwaka huu ni mbona kama una heka heka sana? Nimeona baadhi ya vyombo vya usafiri vya umma ikiwemo mabasi na boti vinasitisha safari zake kwa siku ya tarehe 29/10/2025...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Nkosana Makate ni raia wa Afrika Kusini ambaye alivumbua huduma maarufu ya ‘Please Call Me’ ama ‘Tafadhali Nipigie ‘, uvumbuzi ambao mpaka sasa kesi bado ipo mahakamani kufuatia kutokukubaliana...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Video inayodaiwa kuwa imefanya Niffer akamatwe na Jeshi La Polisi
8 Reactions
63 Replies
3K Views
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya, Oktoba 24,2025 ameongoza vyombo vya ulinzi na usalama, wananchi na vikundi mbalimbali vya Jogging na hamasa katika matembezi ya miguu kuzunguka maeneo...
1 Reactions
3 Replies
216 Views
Kura yako, haki yako, jitokeze kupiga kura Moja kwa moja kwenye mada, swala la bikira limekua gumu sana kulipata kwa wasichana wengi katika dunia ya sasa si Tanzania wala popote pale mabinti...
5 Reactions
10 Replies
520 Views
Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili...
43 Reactions
5K Replies
846K Views
Ukisikiliza mazungumzo yao inaonekana hawa watu ni wauaji wazoefu kanisa, issue ya tesha iweje wajue kuwa tesha hayupo nchi na amekimbilia nchi za nje?? Hii inaleta taswira ya kwamba hadi jeshini...
3 Reactions
4 Replies
335 Views
Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni...
1 Reactions
13 Replies
571 Views
Aibu kubwa mno! Yani nyie CCM si mnasemaga mnawatu wa kutosha na kama wanakipenda chama chao watakuja wenyewe kwenye hizo kampeni. kwanini mnanengeneka kuwasomba watu tena usiku kama ng'ombe au...
5 Reactions
10 Replies
334 Views
Isa bin Maryam. Hakuzaliwa kwa uwezo wa Kibinadamu. Jiulize kwa nini anaitwa Bin Maryam jina la mamaye? Ni sababu hakutungwa mimba kwa njia ya Kawaida. Hakuwa na Baba wa Duniani. Maana yake nini...
2 Reactions
11 Replies
653 Views
Nawaonea sana Huruma na Kuwadharau pia wale Majuha (Fools) wote wanaomuamini huyu Mnafiki kama wa Ununio.
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Huyo Msafwa wa Mbeya Clemence Mwandambo nampinga kwa vingi ila katika hili ana uzito Umasikini utakufanya utengwe hadi kanisani Ukiwa masikini sahau kuzikwa na maaskofu utazikwa na wasaidizi...
6 Reactions
16 Replies
626 Views
Habari ndo hiyo wadau, sasa sijui ndo ishara hizo za kukinukisha.
4 Reactions
19 Replies
702 Views
Wanabodi, Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, imepongezwa kwa kuchangia kuhamasisha utalii nchini kulikopelekea kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania, kutoka watalii 1,454,000...
2 Reactions
10 Replies
649 Views
Soma pia: Kimbunga Ragasa chafika China baada ya kuua watu 17 Taiwan Kimbunga kikali kilichopewa jina la “Melissa” kinaripotiwa kuikaribia Jamaica kikiwa na kasi kubwa ya upepo na mvua nyingi...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli...
8 Reactions
97 Replies
3K Views
Back
Top Bottom