Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kichaa kapewa rungu . Tuuseme ukweli Maza hakutosha kuwa hata Mwl wa Primary . Reasoning Capacity yake ni ndogo mnoo. Kunamengine yanayotokea hadi unajiuliza ,hivi hadi hili nalo lilikuwa na...
17 Reactions
30 Replies
1K Views
INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29 Hello, important plz. Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri...
2 Reactions
3 Replies
295 Views
Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
2 Reactions
5 Replies
397 Views
Mbunifu wa huduma ya ‘Please Call Me’, Makate, ametakiwa kulipa Vodacom R13 milioni (Tsh 1.8 Billlion) kama gharama za kisheria Mgogoro wa muda mrefu wa kisheria kati ya mbunifu wa huduma ya...
2 Reactions
6 Replies
351 Views
Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki. Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs. Vituo vya kupigia kura...
2 Reactions
5 Replies
364 Views
Tarime tujitokeze tumuokoe heche hakuna muda wa kupoteza wasije wakamuuwa Mnajua ndugu yenu yupo wapi hivi sasa hatuwezi kufanya amani kwenye mazingira kama haya tupaze sauti tumuokoe ndugu yetu...
2 Reactions
1 Replies
334 Views
Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni Huduma ya "Tafadhali Nipigie" Mahakama ya juu ya Rufaa Nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa Huduma ya...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Tusipochukua hatua sasa. Tutaimaliza hii dunia wenyewe.. Kwako unaona ni mrija mmoja, amazing chupa moja ama kipande kimoja! Lakini umeshawahi kuwaza mkiwa 100,200 1000 na zaidi?
1 Reactions
28 Replies
621 Views
Wadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi. Idadi ya polisi kwa makadirio ya...
3 Reactions
12 Replies
700 Views
Mwenye kusikia na asikie Hapa hamna mboyoyo Tegemea kuona jambo jipya mno, ambalo wote hamkutajia
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Youtube wana shida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao? Yaani youtube muda huu imegoma kbs kufunguka au wamezima
2 Reactions
31 Replies
995 Views
Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa...
5 Reactions
6 Replies
495 Views
Habarini waungwana.... Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani? Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Where is the spirit abhamuraaa!!! 🚮🚮🚮
1 Reactions
3 Replies
200 Views
Nguvu wanayoitumia Polissi kupambana na raia wangeitumia shule sasa hivi wasingekuwa polissi. Anyway msiwalaumu sana maana 99% ni wale waliofeli shule wakakimbimbilia upolisi, hata hao wenye...
6 Reactions
6 Replies
306 Views
Waliokuwa wanasema maandamano ni mikwara ya mtandaoni bado wapo?
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Sikutarajia kwamba maandamano yatazungumzwa had na watoto mitaani, yani mtaani maandamano yamekua maarufu kuliko uchaguzi, ama hakika walioanzisha hii kitu mpaka hapa wamefanikiwa sana yani...
6 Reactions
15 Replies
524 Views
Back
Top Bottom