Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekaa nikawasikiliza wapinzani nikagundua jambo niwachonganishi na wana roho mbaya mfano ACT Wazalendo nimekaa pale Zanzibar miaka hiyo hao jamaa wanaroho mbaya yani wao mbara wanamuona kama...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze...
1 Reactions
1 Replies
171 Views
Jamani naelewa vyombo vya habari vinamuogopa huyu mama, ila hii ni too much, khaaa 😂😂 =========== Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu...
3 Reactions
22 Replies
754 Views
Maafisa wa usafirishaji wa Stendi ya Zamani, Singida wametakiwa kuendelea kuwa mfano wa kuigwa katika kulinda amani na utulivu, hususan kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kuwa amani...
2 Reactions
4 Replies
219 Views
Au wanaendaga mikutanoni na nguo za kubadilishia huko huko nini.
1 Reactions
6 Replies
248 Views
Nauliza tuu sio kwa ubaya. Na kama lipo linalinda nini??
5 Reactions
20 Replies
561 Views
Naomba msaada kwa aliewahi kuomba Dealth certificate online, nimefanya atua zote nimekwama hapa Yanini nimeattach documents zzinazoitajia ikaleta control namba na nikalipia Tsh. 20,000 the...
1 Reactions
7 Replies
295 Views
Walimu mpo!!! Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa...
1 Reactions
17 Replies
573 Views
China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano uliodumu kwa miongo kadhaa, na urafiki ambao unaweza kuitwa kuwa ni wa jadi kutokana na pande hizo mbili kuwa na masikilizano, kuheshimiana...
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Tanzania ipo hatua moja karibu zaidi kuzindua mradi wake mkubwa wa nishati utakaobadilisha sura ya sekta hiyo — ujenzi wa kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta ya aina mbalimbali...
0 Reactions
8 Replies
508 Views
Kama kweli wanaharakati wanaitakia mema Tanzania basi hii ingekuwa agenda yao ya msingi sana kuanzia ili kuleta mapinduzi ya kweli mchini. Wangeandamana magari ya kifahari ya serikali yauzwe na...
0 Reactions
9 Replies
322 Views
TTCL fiber imekatika sasa ni siku nzima, hawapatikani kujibu wala hawatoi taarifa. Watu wanafanya biashara zao kutegemea mtandao na tumefunga kwa gharama kubwa ikiwemo kutoa hongo maana ni watu...
2 Reactions
7 Replies
411 Views
Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini?pesa laZima ziprintiwe ili mikutano ya kampeni ijae Kumbe ndo maana vijana wameamua kuita pesa yetu ati ni SASAMPA...
14 Reactions
121 Replies
4K Views
1. Kwamba alichukuliwa kuwasaidia Wamarekani na akauwawa kwenye uwanja wa mapambano nchi za Arabuni 2. Kwamba alirudi Tanzania na akafariki katika Hospitali ya Lugalo baada ya kuugua
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba niende kwenye swali moja kwa moja, Mtu alikuwa ni mwanachama wa uchangiaji katika mfuko wa Nssf na alikuwa ameajiriwa katika sekta binafsi na katika kazi ambayo ni non-skilled labor or...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wa Tanzania jiandaeni na Maandamano, ikitokea mvua mjue ni baraka.
1 Reactions
4 Replies
271 Views
Baada ya nchi kukombolewa, mitandao ya simu itakayofunga internet kuelekea uchaguzi inapaswa kufunguliwa mashtaka. Kwanini unawazimia watu milioni 70 mawasiliano, kisa watu wachache? kisa siasa...
12 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu wa Jf nawasalimu na poleni kwa Majukumu ya kila siku. Kwanza kabisa moyo wangu uko na upweke kwa mambo yanayoendelea Nchini kipindi hiki cha uchaguzi binafsi sipendezwi na kwa kiasi mpka...
2 Reactions
42 Replies
1K Views
Back
Top Bottom