Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zanzibar. Tarehe 27 Oktoba 2025: Katika kuunga mkono juhudi za kuwaletea maendeleo wananchi, Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Taasisi ya Fedha ya Ufaransa ya BPIFrance imesaini mkataba wa...
0 Reactions
1 Replies
189 Views
Habar wandugu,,,,,,hawa jamaa wakuitwa Anostore muwe nao makini Kuna machine zao za kuhesabia pesa bill counter wanauza,,,zina changamoto ya kugundua pesa fake...juzi nimechukua moja inanisumbua...
2 Reactions
20 Replies
658 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Shadrack Masija, amewataka wananchi wote wenye sifa za kupiga kura kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Akizungumza na waandishi wa habari jana Oktoba 27, 2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema wananchi hawapaswi kuwa na hofu au kutafsiri vibaya muonekano wa vyombo vya...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Ofisi ya Msajili wa Hazina imetoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, 2025, katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza kwa niaba ya...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Voda wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu Niwape indhari kuna mtindo voda wamekuja nao, kama unadaiwa nipige tafu mfano 500 ukitaka kununua...
6 Reactions
69 Replies
12K Views
Katika kipande cha sauti kilichovuja mtandaoni , kamanda wa POLISI , mamba MLA watu , Israel mtoa ROHO za waTz, Mafwele ametoa majibu kwamba anawakamata Hadi hao wanajeshi. Kwa kifupi hata hili...
11 Reactions
25 Replies
1K Views
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Geita umesikitishwa na kulaani vikali kitendo cha kutekwa kwa Mwenyekiti wa Mkoa, Ndugu Manjale Magambo, kilichotokea usiku wa saa tatu, tarehe 24 Oktoba...
0 Reactions
13 Replies
661 Views
Habari ndugu zangu, Ninakereka sana na tabia ya baadhi ya mabasi yanayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Moshi kuruhusu wauzaji wa machungwa kupanda ndani, hasa mabasi ya TILISHO na BM...
12 Reactions
54 Replies
2K Views
Msione wanafunzi wana usongo wa kurudi vyuoni , wana ndoa zao vyuoni
4 Reactions
25 Replies
913 Views
Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi, Kuna wanaume uvumilivu utawashinda...
4 Reactions
18 Replies
803 Views
Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped. Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000). Je...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakati tatizo la Uhaba wa Sukari linaibuka mwaka 2021 mwishoni, Serikali ilieleza kuwa linasababishwa na Viwanda kushindwa kusindika Miwa inayozalishwa nchini kutokana na udogo wa mitambo na...
10 Reactions
16 Replies
861 Views
N vigeugeu wa kutupa na wanafiki waliopitiliza hasa linapokuja swala la kupigania maslahi ya wote watakuacha uangamie kwa wao kupata na kulidhika na kidogo watakachopewa. Kuwa makini sana nao...
1 Reactions
9 Replies
256 Views
Makundi matatu yanayoogopwa na serikali ni 1. Askari Hawa wanasikilizwa haraka sanaaa kwan wakikasirika hawatak siasa mpaka jambo lao litimie wanaongozwa na itikad moja juu ya hitaj lao kifo sio...
1 Reactions
6 Replies
440 Views
Ad-Darr” (ٱلضَّارّ) ni moja ya majina 99 ya Allah (Asmaul Husna). 🔹 Maana yake: “Yule Mwenye Kudhuru” au “Mleta Madhara.”
1 Reactions
2 Replies
159 Views
Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29. Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea...
1 Reactions
1 Replies
156 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu uwepo na mwenendo wa Kimbunga Kikali “CHENGE” ambacho kwa sasa kipo katika Bahari ya Hindi, upande wa kaskazini mashariki mwa...
4 Reactions
4 Replies
334 Views
Back
Top Bottom