Sikuwa namfaham na wengi hawakumfaham. Ila baada ya kifo chake ambapo aliuwawa kikakitili watu walipokea habari ya kifo kwa uchungu sana.
Ni picha zake enzi za uhai wake ndo zilivuta hisia za...
Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi ..
Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji...
watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana.
Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa...
Naona huko Instagram GEN Z wanadai kama watafosi arudi huyuhuyu kizimkazi basi nao watakuja na #MO29SEASON2 wanasema hiyo itakua mbaya sanaa.
Chukueni hatua huyo mtu hatakiwi.
KITUKO 👇👇👇👇
Kuna tetesi kwenye mitandao ya kijamii JK kakimbilia kujificha nchi jirani ya Kenya.
Hizi tetesi nimezipata Facebook ila nafuatilia kwa karibu sana kutoka vyanzo vyangu vya karibu na uhakika...
1. ADUI NO.1 wa SATIVA
Huyu jamaa alistahili aondolewe kabisa kwenye utumishi wa umma hasa upolisi, ananuka damu, ananuka damu, ananuka damu, ila kwakua anafanya kazi ya watawala vizuri wakaona...
Tangu jana kumekuwa na ongezeko kubwa la magari ya viongozi wa kijeshi yakitokea Mpwapwa kuingia Dodoma mjini. Wiki hii nzima hali haijawa ya kawaida—magari ya polisi, Jeshi la Wananchi (JWTZ), na...
Ni usiku ulio gubikwa na ndoto, ndoto zilizo na matukio mengi mithilli ya maisha halisi zilinifanya nifikirie sana ila kuna hii ndoto ilichukua muda mpaka kufikiria ni nini nimeota au niliona kwa...
Hello habari! mimi sio mwanasiasa na silipwi na kikundi cha mtu au watu kwa njia yoyote nipo hapa kutoa ujumbe wa nyota siku ya Tar 29/10/2025. Mjumbe hauwawi!!
Nimetazama nyota zitakavyokuwa...
Yule mwingereza mtanzania mwenye ngembe, nyodo, majigambo, majivuno na madharau ya hali ya juu naye inabidi atembelewe mbweni
Asije kabisa tarehe 15 nov kwenye mnada wake wa vyuma chakavu.
100...
Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi...
Haiwezekani kodi zetu zitumike kununua magari na zana zingine za kuzuia uhalifu halafu inatokea watu wanaandamana leo huko Dsm na Tunduma. Kuna usaliti ndani ya jeshi la polisi. Mali za watu...
Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote,
Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili.
Mtu kazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.