Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa madogo ni wabishi, ninayoyaona huku kitaa ni hatari vijana wamevurugwa sana. Hata mkijitangaza mkarudi ikulu huko mbele mtatawala kwa shida sana. Ama hakika #MO29 imefana
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Hatimaye lockdown imekwishaaaa... 😂 😂 😂 🤣🤣🤣
5 Reactions
5 Replies
402 Views
Ikiwa kesho ni siku ambayo kila mmoja wetu anategemea inaenda kuwa siku ndefu isiyotabirika… Huku wengine wakiwa na wasiwasi, Wengine wakiwa very excited pia kuishuhudia maana ni siku yenye utata...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
Kabla ya yote niwashukuru kwa kuitikia muitiko huu Sasa tunaweza kuketi ili tuanze kikao Bila kuwachosha . Kuna kitu nilihitaji majibu kutoka kwenu wanaume Imetokea kwenye harakati zako za...
6 Reactions
26 Replies
906 Views
Mahakama ya Rufani imeiagiza Kampuni ya Vodacom Tanzania Public Limited Company kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya shilingi bilioni 1.4, ikiwa ni riba ya kodi ya zuio (withholding...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Si walikuwa wanawaita watanzania maiti? Sasa wamefufuka. adriz
5 Reactions
12 Replies
570 Views
Mtandao wa ufisadi, mauaji, wizi , utekaji, madili feki na kila aina ya uchafu ni mkubwa sana, ni chain ndefu na network kubwa sana. Na wanaofanya hivyo ni wanufaika ambao ni mawaziri...
14 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu habar za asubuhi Kuna karesearch nimekufanya kwa kuzingatia mambo fulan fulan nimekuja kugundua asilimia karibia 70 ya wafanyakazi wa serikali wanaongoza kwa kuchapiwa wake zao ni walimu...
3 Reactions
39 Replies
932 Views
Kipindi Niko pale JKT tulifundishwa kuwa askari yupo tayari kufa ili kumwokoa askari mwenzake Yaani Deep state wanamtumia Mafwele kuwadidimiza na kuwatia hofu JWTZ Huyo bwana anajisifu ati hadi...
14 Reactions
47 Replies
2K Views
Baadhi ya video zipo Instagram https://www.instagram.com/samia_muuaji?igsh=MWRzaGxjMDU3YW9sbw==
0 Reactions
1 Replies
356 Views
2 Reactions
8 Replies
302 Views
Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili. Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi...
1 Reactions
8 Replies
535 Views
Ni asubuhi tena iliojaa ndoto mithili ya uhalisia sijui kama naota au nilichokuwa naona ni uhalisia wa tukio bado najiuliza hadi asubuhi hii ya leo nimeota tena kuna kundi la watu vijana kwa...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika...
0 Reactions
2 Replies
259 Views
Mods msiufute huu uzi. Ukitulia na kutafakari Kwa utulivu hilo swala ya SIMBA na YANGA kusuguana kuhusu huu mchezo wa marudiano utagundua kuwa, 1. Ni mpango uliosukwa kwa makusudi ili kuwafanya...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Ukiingia kwenye website ya flightradar, kulionekana ndege yetu , mali ya wananchi (air Tanzania) imeruka mapema asubuhi, lakini hivi sasa Kuna nyingine iko scheduled kuruka saa nane mchana...
1 Reactions
7 Replies
672 Views
Waliotekwa, waliouawa hatuoni wala hatuumi. Ila tumeona miondombinu ikiharibiwa na imetuuma. Hii haikubali. -Yaani hotuba zote za wenye mamlaka ya juu katika nchi hazigusii uharibifu wa uhai wa...
3 Reactions
4 Replies
312 Views
Mzuka wana Jamvi . Kama tunavyojua kawaida wabongo ni wazuri wakishambulia kutokea mitandaoni na katika real life ikiwa kwa njia ya usengenayji kwa ufupi wabongo ni 'Ignorant Cowards ' Kujikuta...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Back
Top Bottom