Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine...
Habari wana JF.kuna tv nimeipenda sana kwa matangazo yake,ni press tv.inapatikana kweye dish satellite panam 7/10 ku-band frequencie 12562 H 26657.au tumia link hii ([www.presstv.ir]).
tulichofanyiwa na hawa wanaojiita viongozi wa madhehebu ya kidini ni kinyume na hakizote za kibinadam sidhani kama Mungu aliwapa hadi upeo wa kufanya prediction ya kujua kiongozi huyu anafaa yule...
Wapendwa wana jf wenzangu, bila shaka mmesikia mengi kuhusu kuvunjwa kwa baraza la mawaziri wengine wakimpongeza jk, wengine CC na wengine wakiwapongeza wabunge wa CDM. Naomba niwe muwazi kwa...
Katibu Msaidizi wa Idara ya Siasa na Uhusiano ya CCM Charles Charles amemuumbua Mbunge wa Ubungo John Mnyika kutokana na madai yake ya uongo bungeni dhidi ya mke wa Rais Mama Salma Kikwete...
Serikali imeombwa kuliongezea vitendea kazi Jeshi la Polisi ili liweze kukabiliana na vitendo vya uhalifu hapa nchini.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mbunge waViti Maalum (CCM), Prudenciana...
Waziri Maige amekiri kununua bonge la mjengo maeneo ya Mbezi Beach kwa mabilioni!
Fuatilia mwenyewe kweye huu uzi ujionee wanaojiita wenzetu wanavyolitafuna hili taifa wakati sisi tukiambiwa...
WANA JAMVI, NIMEIPATA HII KUTOKA FB, NIMEIPENDA, TUIJADILITangaza Mazuri ya Nchi, Onea Aibu Udhaifu!
Kuna semi nyingi za Kiswahili ambazo kimsingi zinasisitiza umuhimu wa jamiikutimiza wajibu...
Swali hili limekuja kichwani mwangu baada ya kuona JK akibadilisha mawaziri kila uchao na kulivunja balaza lake la mawaziri. Hakuna balaza la mawaziri ambalo JK alishaliteua likawa faraja kwa...
Kwa habari zilizo za moto kabisa jembe letu Tundu Lisu ameshinda kesi
tunashukuru kwa amombi yenu na sala zenu JF
nomba kuwasilisha kiroho safiii
sosi redio tone dar...........
Wana JF, Habari zilizopo zinasema kwamba wale walaji wa chips mayai wakae chonjo kwani kuna mayai ya Kisasa yanayotengenezwa na wachina hapa nchini. Angalia picha za mchakato mzima wa jinsi...
Katika kikao kilicho itishwa na mwenyekiti wake na ambaye ni raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania mh raisi Jakaya Mrisho Kikwete kamati kuu CCM imeshinikiza raisi avunje baraza la mawaziri...
Wadau itv ktk kipindi cha kipima joto
Mada uthibiti wa fedha za umma
namuona A.L. Mrema wa TLP,Godfrey Zambe wa CCM!
G.Zambe wa ccm anasema inasikitisha
watu wanaiba arafu wanaachwa...
Mbunge wa jimbo la Singida mashariki CHADEMA),Tundu Lissu,muda mfupi baada ya mahakama kuu kutupilia mbali maombi yaliyotolewa na Shaban Selema na Pascal Halu wa CCM,kupinga matokeo yaliyompa...