Tundu Lisu ashinda kesi safiiiii sanaa M4C for life | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu Lisu ashinda kesi safiiiii sanaa M4C for life

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Apr 27, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa habari zilizo za moto kabisa jembe letu Tundu Lisu ameshinda kesi
  tunashukuru kwa amombi yenu na sala zenu JF
  nomba kuwasilisha kiroho safiii
  sosi redio tone dar...........
   
 2. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sosi yako kiboko!
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,368
  Likes Received: 4,802
  Trophy Points: 280
  M4C for ever.
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,347
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 280
  Kufanya kosa siyo kosa bali kosa ni kurudia kosa.

  Serikali na Ikulu wameshaona madhara ya kuingilia sheria kwa kulazimisha hukumu dhidi ya viongozi wa upinzani. Na sasa hawawezi kurudia ya Arusha kwani yana wagharimu sana CCm hadi sasa na uamuzi wao mbovu utaendelea kuwagharimu. HAWAKUTEGEMEA KUWA YATATOKEA YOTE YALE NDANI YA CHAMA NA NJE YA CHAMA.


  Hivyo kesi zote zilizobaki hukumu ya haki itapatikana.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 5. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Tulijua tu...LISSU TENA! hilo ni anguko lingine kwa CCM!
   
 6. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watz bhna kila k2 ku question lissu jembe mjomba now comfermed kila stetion ya tv na radio liveeeee
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,012
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tusubiri ya Sumbawanga maana yule mpuuzi aliyeamua kesi ya arusha alitoka huko.
   
 8. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hayo magamba yatawabana mwaka huu hadi wakonde, pambaf* zao! Cheza na TL nyinyi.
   
 9. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 41,066
  Likes Received: 8,555
  Trophy Points: 280
  safi sana! M 4 C
   
 10. M

  Mussolini New Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Arusha kurudi ni pagumu maana raia wa arusha wanasema hata jiwe likiwekwa likavalisha Bendera ya chadema watalipa kura zote, watu wameshachoshwa nao, hata vibaraka wanaona aibu!!
   
 11. M

  Mussolini New Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Tundu lisu!
   
 12. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  good news
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,697
  Likes Received: 2,787
  Trophy Points: 280
  Good news.
   
 14. M

  Mopero Senior Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera sana Tundu Lisu nina furaha kuliko kiasi!
   
Loading...