Baraza kuu ccm lashinikiza kikwete avunje baraza la mawaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza kuu ccm lashinikiza kikwete avunje baraza la mawaziri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yasser5, Apr 27, 2012.

 1. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika kikao kilicho itishwa na mwenyekiti wake na ambaye ni raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania mh raisi Jakaya Mrisho Kikwete kamati kuu CCM imeshinikiza raisi avunje baraza la mawaziri kuokoa chama amabacho upepo wake ulikuwa unakielekeza mochwali kabisa
  sos tv mliman ..
   
 2. B

  BAGENI Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  safi sana tena waambiwe kabisa kuwa watatakiwa kurejesha mali walizoiba wakiwa madarakani.
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hilo ni kama ndoto sahau ndugu yangu
   
 4. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  ataweza wkt alishasema huo ni upepo tu?
   
Loading...