Tusiwafuate tena hawa mapadri,masheikh na wachungaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusiwafuate tena hawa mapadri,masheikh na wachungaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KALYOVATIPI, Apr 28, 2012.

 1. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  tulichofanyiwa na hawa wanaojiita viongozi wa madhehebu ya kidini ni kinyume na hakizote za kibinadam sidhani kama Mungu aliwapa hadi upeo wa kufanya prediction ya kujua kiongozi huyu anafaa yule hafai mpaka wanatuingiza mkenge wa kuchagua viongozi ambao awaendani na hali halisi yetu nawachukia sana hawa viongozi kwa kujifanya miungu watu
   
 2. ijoz

  ijoz JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 672
  Likes Received: 376
  Trophy Points: 80
  Za kuambiwa changanya na zko.Haya ya kaisari wetu (made from Mlingotini) MUNGU katuachia,and not hs choice I bet.
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  watanzani waliowengi wanaona kama kufuata maneno ya ya hao watu ni kuingia peponi kumbe wengi wapenda mikun* tu
   
Loading...