Bila CHADEMA, Tanzania yetu ingeangamia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bila CHADEMA, Tanzania yetu ingeangamia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kundaseni meena, Apr 28, 2012.

 1. k

  kundaseni meena Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapendwa wana jf wenzangu, bila shaka mmesikia mengi kuhusu kuvunjwa kwa baraza la mawaziri wengine wakimpongeza jk, wengine CC na wengine wakiwapongeza wabunge wa CDM. Naomba niwe muwazi kwa mawazo yangu yakinifu kwamba bila CDM mabadiliko yaliyofanywa na rais yasingetokea, sababu kubwa ya kusema haya ni kutokana na hoja maridhawa zinazokuwa zikitolewa na wabunge wa CDM kwa maslahi ya taifa letu na kusimamiwa kidete kiasi cha kurisk maisha yao ili mwisho wa siku ziungwe mkono si tu na wabunge wengi bali na watanzania kwa ujumla. watanzania wamekuwa wawakijua maadui zao kupitia sauti za wapiganaji wa CDM. naomba ndugu wana jf wenzangu tutumie fulsa ya kufurahia mabadiliko ya baraza kwa kuipongeza CDM na wapiganaji wote walioungana na CDM kutetea maslahi ya taifa.
   
 2. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  PEOPLE'S POWER ni Demokrasia halisi. Mambo yanapoenda mrama lazima CHADEMA iwasimamie wananchi.

  Kigumu CHAMA CHA MAPINDUZI
   
 3. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hakuna chama chepesi kama sisiem.
   
 4. p

  plawala JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwa sababu CHADEMA ni nguvu ya umma wakati CCM ni nguvu ya pesa na mafisadi
   
 5. M

  Mkira JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hata mimi huwa niwaza sijui taifa hili lingekuwa wapi! Epa,kagoda polisi waua watu, mishahara midogo kwa walimu polisi na nyanja nyingine kn,

  viva chadema mungu aibariki chadema daima kwa wapenda nchi na si wapenda vyama
   
 6. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli,ila vijana wa Nape hawautaki
   
Loading...