ITV live:kipima joto; UTHIBITI WA FEDHA ZA UMMA

Gody

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,246
411
Wadau itv ktk kipindi cha kipima joto
Mada uthibiti wa fedha za umma
namuona A.L. Mrema wa TLP,Godfrey Zambe wa CCM!
G.Zambe wa ccm anasema inasikitisha
watu wanaiba arafu wanaachwa antaka hatua zichukuliwe kwa wanaobainika kwa uwiz fedha za umma!
sio kuona watu wanahujumu then wanaachwa
Ripoti ya CAG imefanya poa
ITV!
 
Nini kifanyike kudhibit fedha za umma!'????
 
Bwana S.Ishengoma ktk Reserch CFRI
mwamasishaji
anasema wamezunguka halimashauri nyingi wamekuta madudu yaleyale! Mh diwani hana elimu ya kutosha kuwepo alipo
pia anasema kuna matabaka ya walala hoi
na waheshimiwa(mafisad) mf; vtu au materl ya ujenz wa shule yanaibiwa diwan unakuta kabung'aa!
Ansema wawajibishwe na sheria iwe na meno!
 
Mrema anasema halimashauri zimejitengenezea vtabu ambavyo vnaingia vijjn kukamua wananchi arafu fedha haziki wizarani
in short halimashauri inajitengenezea mawakala utakuta wanakusanya kodi katka masoko,vtuo mbalmbal nk na wanakula!
 
Msikilizaji anasema DCI. MANUMBA ndo awajibishwe na ITV wamlete hewani anagombana na wez wa kuku kaliakoo anaacha majambazi mafisad wakubwa!!
 
Kiukweli yameongelewa mengi yote kwa yote!
Mrema anamuomba rais afanye mageuz makubwa wizara zote nakutoa uzandik wote ndipo atampgia jk salute vingnevyo tutashikana mashati mpaka kieleweke!
Na mdau mwingine kasema haoni kaz za wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya
anasema hayo yote yaingizwe kwenye katiba mpya! Ni bora kuwa na serikali ndogo inayochukua fedha nying kwaajili ya kuhudumia wananchi kuliko kulipa majitu mengi hela af hayafanyi kitu!

mwisho!
 
mwaka wa1981/83 kulikuwa na sheria ya kukamata wahujumu uchumi wa taifa,je leo hii ile sheria haipo? Au ilifutwa?au ipo lakini haifanyiwi kazi? (naomba jibu)
 
Back
Top Bottom