Mrema anafunguka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrema anafunguka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mr.kibulala, Apr 27, 2012.

 1. M

  Mr.kibulala Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jf members tazama itv kipima joto
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  tusio na aksesi?
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Natamani Jk angekuwa anatazama hiki kipindi.
  Mrema anaongea points ingawa zinaumiza kuzisikiliza.
   
 4. K

  Kazi Deo Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tuambieni na tusiokuwa na access what is going on to Mrema jamani?
   
 5. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtajuzwa yanayojiri.
   
 6. m

  magee Senior Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mrema tunamwonaga mropokaji bt the guy is smart up stairs!!
   
 7. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mrema amemalizia kwa kusema Mh. Kikwete afumue kabisa uongozi mbovu; MAWAZIRI , MAKATIBU WAKUU, MAKAMISHINA, WAKUU WA MIKOA , WAKUU WA WILAYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI n.k WEZI AU WASIOAJIBIKA,ndipo atampigia salute Rais , vinginevyo ataendelea kupiga kelele mpaka kieleweke!

  Nami namuunga mkono kwa hilo.
   
 8. M

  Majasho JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mrema anaweza. Tena yuko kwenye G76. Alafu hana nyumba ya mamillioni ya Dola.

  Huyu mzalendo kweli. Apewe Wizara ya Tamisemi
   
Loading...