Ni vigezo gani JK huvitumia kuliteua balaza lake la mawaziri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni vigezo gani JK huvitumia kuliteua balaza lake la mawaziri?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nitonye, Apr 27, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Swali hili limekuja kichwani mwangu baada ya kuona JK akibadilisha mawaziri kila uchao na kulivunja balaza lake la mawaziri. Hakuna balaza la mawaziri ambalo JK alishaliteua likawa faraja kwa wananchi.

  Hivi ni vigezo vipi JK huvitumia na anatakiwa atumie vigezo vipi ili kupata balaza la mawaziri bora?
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,902
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  umhakikishie kuwa unaweza kuiba
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  huwa anachoangalia ni kama mshikaji wake basi umelamba..
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu nitonye.
  Hapo awali, shekh yahya husein na maruani wake ndio walikuwa wanatoa vigezo na kumshauri KJ (Kubwa Jinga)
  Lkn kwa sasa nini wanaomshauri ni cc ya Nepi na Mukama...
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 180
  Kwa hili tusitarajie mapya kwa JK
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  ccm inanuka hakika kwa ccm hii hata malaika akipewa aiongoze bado atakuwa na kazi kubwa akina january ndiyo hao walio ukwaa ubunge kwa rushwa, akina kimwagala walibebwa waziwazi na cc ya ccm, masele alibebwa na nec kwa kuchakachua kura na kushinda kwa tofauti ya kura 1,Tzeba ni bogus kabisa..lakini kwa kuwa swala la uraisi ni la familia na mshauli amchague salma na riz1 na mwanaasha awe waziri wa madini
   
 7. Tmlekwa

  Tmlekwa Senior Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 181
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  sababu kubwa huyu bwana anaendekeza ushkaji sana,wachapa kaz anawaacha ye anachukua washkaji
   
 8. M

  MamG Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni lazima awe mwizi na mpiga porojo, hiyo ndo requirement yake kubwa na ya lazima.
   
 9. k

  kasiwani Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lazima uwe mhuni muhuni kama adm malima,uwe na majibu ya dry kama ya mwantumu mahiza,poa uwe mwongo mongo kama bat burian,na pia uwe fisadi pia....
   
 10. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,968
  Likes Received: 3,002
  Trophy Points: 280
  Ukiwa mshikaji umeukwa uwaziri
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,053
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ukiwa mwislam tu umeukwaa uwaziri!
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 8,691
  Likes Received: 3,576
  Trophy Points: 280
  Bingwa wa kutoa ngoma juani"hajui hapo ndipo anapoharibu serikali yake na wananchi kukichoka chama chake cha magamba!!!anawapa washikaji zake na ndugu jamaa zake ili wasije wakamlaumu kuwa alishika pale hakutusaidia kutuinua...pia anatakiwa kuinua waislamu kushika nafasi nyeti hilo pia ni no moja alishasema kuwa sasa ni zamu yetu!!
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,338
  Likes Received: 4,775
  Trophy Points: 280
  Umeniacha hoi.
  Tedo like this..
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,338
  Likes Received: 4,775
  Trophy Points: 280
  Poor! inasikitisha sana.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,454
  Trophy Points: 280
  Jana Maige alisema huwa anafunuliwa na Mungu ndo anawachagua.
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  JK hajawahi kuteua baLAza za mawaziri
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,809
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Abdallah saidi wa pale mwenge stendi anaosha magari sio waziri na ni mwislamu safi sana, magufuli, mathayo, wasirra, pinda, chikawe, nagu, mwanri wote hawa sio waislamu, tupunguze kudilute hoja tunadharaulika
   
 18. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli kabisa huwa anateua mawaziri kwa kadiri inavyompendeza yeye,hamna vigezo ukiwa mshikaji fresh unapewa tu
   
 19. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,903
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Kwa maana hiyo hawa wevi ni wateule wa Mungu? (Kama kamfunulia Rais nani achaguliwe=wanaochaguliwa ni God's choice)!

  Kama ni MUNGU huyu tunayemuamini hawezi kuchagua viazi hawa kuwa ndio watuongoze! Labda Maige alikuwa anaongelea mungu mwingine!
   
 20. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,137
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hili nalo neno, tafakari mpaka leo mafisadi wote waliopandishwa kizimbani au waliopata kashkash katika ofisi zao ni wakristo! Nani anaagiza hayo?

   
Loading...