Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)
Maana...
Sina ndugu aliyefariki katika haya yaliyotokea
Lakini nimeshindwa kuelewa kwanini nateseka ???
Nateseka
kifua changu kinabana wakati mwingine pumzi naipata kwa shida
Moyo unaenda mbio
Kichwa...
Huwezi ukawa unataka kushinda vita kwa kuropokaropka mbinu zako za kivita kwa adui yako ambaye muda mwingi yupo kimya akikusoma tu ilihali unajua kabisa unayemropokea ana nguvu kila idara.
Mange...
Nimetumia neno utekaji ikiwa na maana jeshi la police halikutoa taarifa yoyote ile kama kuna wanajeshi wamekamatwa na kufikishwa mahali sahihi bali hadi pale wenzao walipovujisha audio ile.
KWENU...
Watu tuliowapa dhamana ya kutulinda, mali zetu, mipaka yetu, usalama wetu kiujumla na kutuletea maendeleo ndio hao hao wamegeuka kufanya mauaji ya halaiki.
Kama haitoshi wamefungia mitandao kama...
Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra,
Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila...
Nimeona watu wengi wakitamka kuwa Mungu atalipa kwa yaliyotokea baada ya uhalifu uliofanyika. Mimi kama mkristo ninayeijua biblia vizuri niwakumbushe tu kuwa waliofanya uhalifu kuanzia siku ya...
1. Wapigania haki ambao walikuwa na haki ya kukata vidole vya wenzao ila vyao visikatwe kisa ni wafuasi wa chama fulani kilichogoma kuingia kwenye uchaguzi
Wapigania haki waliokuwa na haki ya...
Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa.
Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora...
Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7
Kama Mungu yupo kweli...
Wenzetu huko wanahangaika na kutoa heshima kwa ajili ya kijana wetu mmoja tu tena mwili wake umekaa huko zaidi ya miaka miwili na bado hawajapotezea.
Njoo kwetu wenyewe sasa.
Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala...
Katika Mkoa wa Njombe uliopo kwenye nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Juliana Yotham Mwalyepelo mwenye umri wa miaka 38 anachunguza safu za miparachichi ambayo imestawi vizuri.
Akiwa afisa...
Katika vilima vya kijani vya tarafa ya Bumbogo, wilaya ya Gasabo, nje kidogo ya mji mkuu wa Rwanda, Kigali, kilimo cha uyoga na ujasiriamali vinazidi kustawi, vikibadilisha maisha na kuboresha...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Ameshea ujumbe huo kwenye page yake ya Instagram
Namshauli awe msabato au kkkt
YESU KRISTO ni mwaminifu sana
Karbu husen machozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.