Silivian Member Joined Nov 13, 2022 Posts 90 Reaction score 218 Nov 7, 2025 #1 Wenzetu huko wanahangaika na kutoa heshima kwa ajili ya kijana wetu mmoja tu tena mwili wake umekaa huko zaidi ya miaka miwili na bado hawajapotezea. Njoo kwetu wenyewe sasa.
Wenzetu huko wanahangaika na kutoa heshima kwa ajili ya kijana wetu mmoja tu tena mwili wake umekaa huko zaidi ya miaka miwili na bado hawajapotezea. Njoo kwetu wenyewe sasa.