Anaandika rapa Wakazi kupitia ukurasa wake wa Instagram:
Kauli ya Katibu Mkuu wa UN (Antonio Gutierres) “WHEN JOURNALISTS ARE SILENCED, WE ALL LOSE OUR VOICES” tafsiri yake ni kwamba “Wana...
Serikali ya Cameroon imezuia matumizi ya mitandao ya kijamii ikiwemo TikTok, YouTube, Facebook na Telegram, saa chache tu baada ya ripoti ya Umoja wa Mataifa kudai kuwa vikosi vya usalama viliwaua...
TBC imekumbana na maoni hasi baada ya kurusha taarifa ya kampuni ya Mabasi ya Esther Luxury coach kurudisha huduma zake baada ya kusitisha kipindi cha uchaguzi, ambapo taarifa yao imeeleza kuwa...
Kampuni ya mabasi ya Esther Luxury Coach Limited imetangaza kurejesha rasmi huduma zake za usafirishaji wa abiria kuanzia leo Novemba 6, 2025, baada ya kusitisha safari kwa muda kufuatia...
Imepita canter moja hapa inasindikizwa na cruiser 5 nyingine zinaonekana kama za watu wa afya canter imefunikwa nyuma haijulikani imebeba mzigo gani uelekeo njia ya Mkuranga
Vodacom m wekeza vipi mbona hatuwaelewi tangia asubuhi hatupati access ya kuingia au ndio utapeli?
Hili swala nashindwa kulielewa m wekeza tangia asubuhi wateja hatuwezi kuingia au ndio utapeli
Usingizi umepotea ukiwa Dodoma basi tuambie kinachoendelea toka saa 23hrs hadi muda huu?.
Nimepita hapo naelekea Singida nyuma nasikia kimewaka kwenye baadhi ya mitaa, kuwa njugo zina rushwa...
Mtoto anakimbia na mama yake anapigwa shaba anakufa taratibu huku anaona analia mama amka..?
Kijana anakufa taratibu wakati utumbo wote umemwagika nnje??
Watoto wanalia mamayao kafuatwa hadi...
Kuna wadau waliomba kujua toafuti ya M-wekeza, ipi bora , n.k
Nitaeleza kwa ufupi kwa wale wanaohitaji kupata hivyo visenti basi wanufaike.
UMILIKI
UTT AIMS nishirika la umma
M-wekeza ni mradi wa...
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wamesema kwamba uadilifu wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29 uliathiriwa, wakitaja matukio ya kujazwa kwa kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura...
TAMTHILIA YA BETRAYAL IN THE CITY by FRANCIS IMUGA
“Silence! The mourners own the graves.”
Kauli hii inatamkwa na Mulili, ishara ya ukatili na ukandamizaji uliokithiri katika jamii ya Kafira...
UMEVUKA SALAMA?
Kama umevuka kipindi hiki kigumu, tafadhali tujulishe kwamba uko salama na tuendelee kuwaombea wenzetu.
Watu wengi wameumia na kupoteza wapendwa wao, Kwa imani yako na bila...
Hakuna kiongozi wa serikali na kisiasa aliyepoteza ndugu wa familia au mtoto ktk vurugu zilizopita sasa iwe zamu yao kuandamana/kufanya vurugu wakati ujao.
Za kuambiwa changanya na za kwako
Dawa ya moto ni moto ni ngumu kwa vyama tawala vikongwe Afrika kuondoka madarakani eti kwa maandamano na kelele za mitaani bali kwa mtutu wa bunduki na hujuma dhidi yao.
Huwezi ukapambana na...
Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena...
Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!”
UZI:
Nimekuwa nikitoka HADI hapa na nikakutana na kitu ambacho siwezi kuziba mol...
Kuna mandezi wengi sana mtandaoni, nahisi wengi humu ni vijana zetu wadogo sana.
Hawa ni wale ambao akipata kitu kipya na kigeni lazima awaonyeshe wenzake.
Karibu kila mtu alikuwa akipost aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.