Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inasikitisha sana kuona kuna kundi kubwa la wapumbavu wanaowaandama hawa vijana wa kitanzania walioamua kutumia vipaji vyao kujipatia kipato kihalali. Wasanii wanajipambania ila wajinga wengi...
1 Reactions
15 Replies
440 Views
Kuna point hapa by Angelique Kidjo kwa wasanii wetu; 1) Usitunge muziki wa kupigia debe chama chochote cha siasa. Ukifanya hivyo, siku hicho chama kitaondoka, hata wewe utaondoka pamoja nacho...
1 Reactions
7 Replies
339 Views
Poleni kwa misiba, Hopefully mko njema kabisa nilipost humu uzi siku kabla ya maandamano uzi ulikuw wazi sana kuhusu mbinu za maandamano nikasema watatumia human shield kama mbinu yao ya...
28 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakili Jebra Kambole ameoneshwa kusikitishwa na namna kosa la uhaini lilivyofanywa kama kuwa la kawaida na kuonya kuwa ipo siku litatokea kweli. Wananchi mbalimbali pia wameoneshwa kusikitishwa...
3 Reactions
5 Replies
403 Views
Dini za kuja ni uninga uliopitiliza na unaowafanya watu wawe wajinga na washindwe kujisimamia wakiamini vitabu vya dini na ujinga uliomo mdani yake. Kwakuwa kizazi cha sasa kimeanza kusituka basi...
4 Reactions
24 Replies
593 Views
Habarini ndugu watanzania wenzangu. Huu ni uzi wangu wa kwanza tokea niweke uzi wa mwisho hapa kwasababu niliacha kuandika kwa muda ili kupisha harakati na purukushani za uchaguzi kupita...
18 Reactions
46 Replies
2K Views
Mwezi Julai 2025, aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM na kipindi cha Power BreakFast, Masoud Kipanya, alichora Cartoon ambayo mtu yupo chooni alafu Toilet paper imeandikwa MEDIA, akiwa na maana kuwa...
3 Reactions
9 Replies
418 Views
FOOLMOON IN TAURUS ♉ Leo usikose kufanya ibada hii, Mwezi Mkubwa (Supermoon) unakaribia. Jiandaeni. kuanzia leo tarehe 5/11, Mwezi Mkubwa utawasili utakuwa mwezi wa duara mkubwa na wenye...
3 Reactions
22 Replies
658 Views
Hadithi: KIVULI NA JUA! Kulikuwa na kijana mmoja aliyeitwa AMANI, aliyekuwa na ndoto ya kuwa mtu maarufu sana kijijini. Kila alipofanya jambo dogo, alitaka watu wamsifie. Siku moja, akiwa...
0 Reactions
2 Replies
357 Views
Baada ya uchafuzi wa Kongo uliomuweka Kabila Mdogo madarakani, wakongo waishio Ulaya waliojiita Les Combattants walihakikisha wale waote waliosapoti na kumpigia kampeni Kabila hawafanyi show...
12 Reactions
24 Replies
845 Views
Amani wanayotaka hawa watawala naona imekuwa sio amani kwa sasa,maana naona ijumaa jirani yangu ni polisi na mtu wadini anaelwa kuwa na AKILI za kikatili za NAZ toka ujerumani kaanza kuniogopa...
2 Reactions
11 Replies
355 Views
DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali...
3 Reactions
6 Replies
348 Views
Wauaji wataenda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu atawasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nitazing'arisha kama ziwe nyeupe kama sufii Na yatima na wajane na wakiwa...
8 Reactions
127 Replies
1K Views
Kama Binadamu ulieumbwa kwa mfano wa Mungu ukapewa akili na utashi, haupaswi kushindwana au kugombana na mtu hata kufikia hatua ya kupigana hadi kuuwana. Kwasababu akili na utashi huo unao...
0 Reactions
4 Replies
310 Views
YAANI wewe unaliamini jeshi kisa walikuwa sambamba na wananchi? Jeshi lilioshindwa kuzuia wanajeshi wanaotoka nje kuingia ndani wanajiita walinda mipaka hawahusiki ndani iliwezekanaje wanajeshi...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Gen Z walitaka uhuru wao kwenye kila jambo hususani kuchagua watu wao kwenye uchaguzi lkn serikali katili ikapitisha jina la mtu 1, na kufanya uchaguzi usio wa haki ufanyike, Born town, current...
3 Reactions
7 Replies
711 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa...
14 Reactions
24 Replies
900 Views
guest-1787677352
Na ule mwanya wake basi sisi hoi. Tukutane 9/12/2025 tutamsalimia huyu na Mwijaku pale Kigamboni sisi wakazi wa Kigamboni.
3 Reactions
18 Replies
841 Views
  • Poll Poll
Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi. Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu...
0 Reactions
14 Replies
519 Views
Hii ndio ile inaitwa thubutu kulima utalima kwa kuteseka harafu bei unakuja kupangiwa na madalali wa mjini...tumewakosea nini hawa viongozi wetu, kosa letu sisi kweli ni huu utanzania au kuna...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom