Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni. Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana. Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
3 Reactions
12 Replies
831 Views
Chawa yoyote atakaye katisha mbele ya uzi wowote wa mtu mzalendo humu jukwaani na popote pale Nitampokea kama alivyokuja. Tusileane asee waliokufa ni binadamu sio mbu wala siafu wale asee acheni...
2 Reactions
5 Replies
283 Views
Rest in peace Watanganyika wote waliokufa kuanzia tarehe 29 na kuendelea, Rest in Peace Joshua Mollel aliyetekwa na kuuliwa na magaidi wa Hamas, Mungu awasamehe makosa yenu na damu zenu zisizo na...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
Anaandika Mwandishi nguli wa habari kutokea EATV bwana Samson Charles "Kwanini wanahabari (eti mnasema) tulionekana waoga? NA SAMSON CHARLES UZOEFU WA TASNIA YA HABARI MIAKA 15. Jibu ni rahisi...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Yer 42:10 SUV [10] Ikiwa mtakaa bado katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang’oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda. Kuna wakati unatamani...
2 Reactions
9 Replies
278 Views
Graduates waliowahi kuishi Oysterbay na Masaki (au wanaoishi huko sasa tokea miaka ya nyuma) ni hazina kubwa ya taifa kwenye kipindi hichi cha ulimwengu wa utandawazi. Wana human capital nzuri...
8 Reactions
189 Replies
26K Views
President Jakaya Kikwete signs a condolence book for the late Ambassador George Nhigula at Tabata in Dar es Salaam on Monday. Nhigula died on Sunday at Magomeni Mikumi Hospital in the city where...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamesema katika kipindi cha uchaguzi, vyombo vya habari vililiweka taifa gizani jambo ambalo sio sawa na kuwataka wanahabari kwenda...
1 Reactions
6 Replies
290 Views
ile nembo ya mnyama anayeiwakilisha nchi fulani na bendera yake imebadilika. Kwa Sasa nchi ile sio Twiga Tena na haiwezi kubakia Twiga.
3 Reactions
5 Replies
390 Views
Nilipotoa wazo hili watu walijibu kwa kejeli sana sasa leo mmeandamana kwaajili ya NRNE na mmekosa matibabu kwa haraka na kwa kiwategemea walewale waliowapiga risasi kuwatibu ambapo mngekuwa na...
2 Reactions
12 Replies
443 Views
Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia. Inapotokea...
1 Reactions
3 Replies
818 Views
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuwa nguzo ya ulinzi, amani na uzalendo wa kweli kwa taifa. Ni taasisi yenye heshima kubwa, ndani na nje ya mipaka yetu. Nidhamu yake, utii kwa...
37 Reactions
42 Replies
2K Views
Soko la sido jijini Mbeya linaungua moto muda huu. Taarifa zaidi zitakujia kadri zinavyopatikana. Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa Ripota wetu jijini Mbeya,zinaeleza kuwa Soko la...
5 Reactions
194 Replies
38K Views
Tulianza kuhoji uhalali wa idadi ya uandikishaji wapiga kura kuwa kwenye idadi ya Watanzania milion 60 huwezi kuandikisha wapiga kura milion 37+, kwenye takwimu za watu idadi ya watoto Huwa ni 45%...
26 Reactions
52 Replies
2K Views
Hizi picha za hawa wawili nyuma ya basi zingechochea mara dufu hasira za raia, Huyu ameponea chupuchupu kutoka kwa kilichomkuta Esther Luxury
0 Reactions
7 Replies
491 Views
Baada ya internet kuwashwa , baadhi ya watu maarufu kama ndumi la kuwili Boniface mwabakusi raisi wa TLS, na wengine wengi wameanza kuibuka na hoja za maridhiano ya kitaifa? Swali langu kwenu...
6 Reactions
10 Replies
406 Views
Wataalam mim nakunywa maji kwa siku Lita 2.5 ila Sasa mkojo wasiku yote yaan masaa24 napata 600mls je ntakua nashida gani
3 Reactions
16 Replies
641 Views
Ofisi ya mafundisho ya Vatican chini ya Papa Leo wa Kumi na Nne imetoa tamko jipya ikieleza wazi kuwa Yesu Kristo pekee ndiye Mkombozi wa wanadamu, siyo Bikira Maria. Waraka huo unasema kwamba si...
3 Reactions
36 Replies
748 Views
Kudai haki kuna ghalama zake tena kubwa tu. Kwenye maandamano ya MO29 kitu nimejifunza kuwa wananchi wakiamua kudai haki ni vyema na haki ukawaunga mkono bila kujari wewe ni mlengwa au sio...
11 Reactions
38 Replies
965 Views
Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom