Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nchi ikiwa imegawanyika..na raia wengi hawapendi mambo yanavyokwenda..na.wanakandamizwa..je? Haiwezi kua mwanya mzuri kwa maadui wa nje kupitia Humohumo kupitia kwa wananchi kuja kuingia nchi yetu...
7 Reactions
45 Replies
967 Views
Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 uliibua hisia tofauti kwa Watanzania. Wapo waliouona kama hatua ya kidemokrasia, lakini pia wapo waliobaki na maswali kuhusu mwenendo wake. Pamoja na hayo...
-1 Reactions
19 Replies
501 Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA Wizara ya Afya imeona picha ya video inayoonesha miili ya watu ikiwa imewekwa pamoja na kuelezwa kwamba hapo ni Hospitali ya Mwananyamala, Dar es...
0 Reactions
23 Replies
920 Views
Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi...
3 Reactions
9 Replies
561 Views
Hakuna amani bila haki, au huria kidogo! Haki na amani ni kama viungo viwili muhimu vinavyofanya jamii kuwa na usawa na utulivu. Katika kipindi cha Mtume Muhammad (s.a.w.), Uislamu ulipigania...
5 Reactions
3 Replies
192 Views
Inasikitisha sana ila katika asili hakuna kinachodumu bali kuna kinachozaliwa na malipo ni hapa hapa duniani. Nitafanya kile ninachoweza ila sifanyi kile ambacho karma itanilipa bali ni kile...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo, upande migomba, upande mipapai msitu wa matembere, lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani. Ukinunua papai...
24 Reactions
108 Replies
4K Views
Kuna mda mwengine africa is africa stupidy ,Mimi na shangaa mpaka sasa raisi mwenye kuwa na asilimia kubwa mpaka sasa jeshi lipo naye kuwa kupendwa kwake imefikia asilimia yote anaogopa nini ...
2 Reactions
10 Replies
461 Views
Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano! Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu...
15 Reactions
51 Replies
2K Views
Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji . Hii...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Ni biashara ya duka genge. mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee si kwamba umelogwa... Bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi...
7 Reactions
6 Replies
479 Views
Mamlaka zinazohusika hasa Maliasili. AFYA . Kuna ongezeko kubwa la tumbili na ngedere maeneo ya Mbezibeach Nssf flats kwenye bonde la mto ndumbwi. Maeneo ya Bahari beach Kondo mpaka Tegeta...
13 Reactions
85 Replies
4K Views
Naiona December ni mbali sana Tuanze hata usiku huu Nina hasira mnoo ndugu zangu Watu milioni 65 tunawezaje kuteseka kwasababu ya vibaka wawili tu wenye uchu? Watanzania tumevumilia this is...
14 Reactions
39 Replies
998 Views
Yaani hili jambo limeanza tangu muda sana! Punde tu kukitangazwa mabadiliko ya mkurugenzi mpya wa Tanesco huwa piga uwa karagaza kutokee hitilafu ya kiufundi kwenye manunuzi ya luku. Je hili...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii inatumika kwa mafundi wa ujenzi na mbao ila ni moja ya silaha isiyo mkito.Na kwa sasa zipo madukani unaweza kutembea nayo. Teknojia ni ngumu kuzuia ila nakuja na chunvi inaweza kuwa bomu...
2 Reactions
3 Replies
215 Views
Hospitali za serikali ndio wasimamizi wakubwa wa vifo na wanafanya hiyo kazi wamepewa likizo kubwa ili kutovujisha habari na sababu walizopewa tokea tarehee za kukaribia uchaguzi mpaka leo...
14 Reactions
13 Replies
715 Views
Kama uwezi kuwa mfatiliaji wa siasa na habari za kimataifa na undani wake ukikalia udini kuona waarabu ni dini yako basi tambua ni adui zako kwa sasa afrika karne hii. Lawama zimekuwa nyingi...
4 Reactions
17 Replies
401 Views
Bado hakuna usalama wala kuaminiana MPAKA tupate ukombozi epukaa kabisa kuamini MTU KWENYE maandamano hasa KATIKA vyakula na vinywaji focus na lengo nenda na vyako. Kama ni surahs tupeane mbele...
6 Reactions
8 Replies
288 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza...
1 Reactions
2 Replies
246 Views
Back
Top Bottom