Nimeitoa Facebook nikaona ni vyema kushirikiana nanyi na wajuvi wa mambo (seniors) ili mtuelekeze zaidi.
Kama hukuwahi kufahamu VPN ni nini na inafanyaje kazi, basi hebu nikufahamishe.
Kwa miaka...
Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha,
Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa...
Tunaendelea kukumbushana tuu kwamba hata hili la bandari siyo udini kama wazushi wanavyozusha.
Kipindi cha "Privatization" kilipopamba moto Hayati Rais Mstaafu Mkapa alitaka kubinafsisha shirika...
Ni vigumu sana kusimama katika haki kwenye dunia iliyojaa uovu, kwamaana unapigwa katika kila upande na hata waliotakiwa kuzama katika maombi nao wamekengeuka, ninapoitazama kazi ya msalaba...
Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa?
Mshahara mdogo?
Matumizi mabaya ya fedha?
Au kuto kuwekeza?
Serikali yakanusha video ya miili kuonekana Hospitali ya Mwananyamala, yadai imetengenezwa kuleta taharuki
Serikali kupitia Wizara ya Afya imekanusha madai yaliyosambaa mtandaoni kuanzia Novemba...
Wabongo ushindi unakaribia kila mahali watu wameamka kuanzia Tiktok insta jf na twitter
Habari za simba na Yanga zimekufa kifo cha mende...
Nawaambieni ushindi unakuja kwa kasi
December 09...
Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka...
Kwasababu waliouwawa wengi ni vijana, halafu pili wengi wao walikuwa wanaishi mjini, halafu tatu maisha ya mjini yalivyo magumu, na halafu nne baba ndiye nguzo kuu ya familia.
Basi watoto wa...
Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka.
Lengo lilikua kumpigania...
Kama ikulu yetu hutoa salam za pole kwa wananchi wake wanapokufa au kupoteza mali, je hupima uzito huo kwa kigezo gani?
Je, Misiba iliyotokana na uchaguzi huu inaweza kustahili pole au misaada...
Mjumbe wa CCM Halmashauru kuu ya taifa NEC ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia Jimbo la Malindi Hassan Ussi
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi...
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia...
Habari
Usikubali kutoka mikono mitupu ukisikia mwizi yupo ndani ya nyumba. Hivi sasa wezi wengi wanadamu za watu mikononi hivyo kuua kwao ni sio shida.
Unaweza kuibiwa vile vile ukapata kichapo...
1) viongizi wa dini - bila kujali ukristo Wala uislamu , kwa Tanganyika viongozi wa dini wengi ni mambumbumbu , malofa na takataka kabisa. Haya mkiyaona mahali popote yapigine Hadi kufa
2) Simba...
Jamaa kaona ya nini tena baada ya kukaa mahabusu kwa siku kadhaa kaona siasa ngumu kaamua akiche siasa
=============
Katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi wa Chama Cha ACT - Wazalendo Mkoa wa Njombe...
Habari ya jioni watanganyika.
Niwapongeze na poleni kwa heka heka.
Nipongeze pia juhudi za ‘wahusika’ kusikiliza wananchi, kwasababu kitu pekee tunahitaji sasa hivi ni kuhudumiwa. Sasa...
Sasa kama nimechoma Vituo vya mafuta na kuharibu Mali za watu je nahitaji kupigwa risasi au kufunguliwa mashtaka
Je sheria inaruhusu mtu asiyekua na silaha kupigwa risasi?
Je sheria inaruhusu...
Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest
Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi...
Mwanzoni walikuwa kejeli kibao kila siku wako dar na kupaponda dodoma, mara sijui kukame, mara jangwani, hakuna chochote mambo yote dar, na kweli mambo yote yalikuwa dar.
Cha ajabu siku hizi Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.