Ukiona mtu ananunua papai ujue hana nyumba

Ukiona mtu ananunua papai ujue hana nyumba

Kwahiyo kama una mipapai na matunda yako bado hayajaiva, ukaamua kununua papai gengeni waja wanajiambia huna nyumba, umepanga. Daaah wabongo 😆 😆 😂

Oh My God Wtf GIF by The Late Show With Stephen Colbert.gif
 
Kama uko nyumbani kwako lazima upande mihogo,upande migomba,upande mipapai msitu wa matembere,lazima uweke vitu lazima upande vitu ule wewe na majirani waombe mboga za majani...Ukinunua papai wewe umepanga.
Mkuu ndege JOHN sasa umenidharau rafiki ? Je hii vita utaiweza au nikusamehe tu
 
Ninawalaumu wote wanao kulaumu, maana hawajui kua umekulia tandahimba kitogole huko ndichi. Na ndo kanuni za maisha yenu. sio kosa laku mkuu. nipo na wewe.

Jamani mwacheni kijana wangu, huko kwao NYUMBA NI MPAPAI, Hata kama huna choo.. jaza mipapai, mihogo na matembele. hata kama nyumba haijaezekwa bado sio mbaya na majirani watakupenda.
 
Back
Top Bottom