Nail gun silahaa ambayo imeweza kugundulika

Nail gun silahaa ambayo imeweza kugundulika

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,425
Hii inatumika kwa mafundi wa ujenzi na mbao ila ni moja ya silaha isiyo mkito.Na kwa sasa zipo madukani unaweza kutembea nayo.

Teknojia ni ngumu kuzuia ila nakuja na chunvi inaweza kuwa bomu ambalo nikubwa japo tuna tumia kwenye kutumia kutafunia maembe.

Sifundishi uhalifu natoa caution tu.
images.jpg



mtakumbuka muvi ya equalizer
imagessssddd.jpg
 
Wanchi tujipambanie wenyewe, serikali dhalimu na vyombo vyake vya ulinzi havipo na wananchi. Sasa wao kama wakiamua watuue wananchii wote wabaki na nchi peke yao
 
Back
Top Bottom