Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona wengi wanasema eti yatakuwa ya Amani kwamba watashika mabango na kutembea tuuu mpaka ikulu bila kugusa mali ya mtu!! Aiseee.. Kwanza tuelewe : maandamano ya amani nchi hii yanayokubalika...
1 Reactions
5 Replies
248 Views
Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita? Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana...
3 Reactions
9 Replies
375 Views
Nawaombeni msikilize kwa makini hawa viongozi wetu wa dini halafu tuone nani yupo sawa na yupi hayupo sawa. Binafsi sina la kusema sababu BAKWATA labda wanaweza kuwa wanasema kweli sababu...
1 Reactions
32 Replies
993 Views
Walianza kwa kusema yule mauaji ni yakutengeneza kwa AI , rais samia alitoa pole kwa wafiwa baada vyuma kukaza sasa iweje atoe pole kwa wafiwa na alisemq ni video za kubuni AI ?? Bado mpaka kieleweke
1 Reactions
3 Replies
178 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa...
2 Reactions
7 Replies
345 Views
Jamani njooni msikilize Bashiru! Kwa mimi nilivyomuelewa kwamba CHADEMA ndio mbabe wao ndio maana CCM imeshinda kwa kishindo!. Ila kajisahau kwamba uchaguzi uliharibika sana! hizo kura za...
0 Reactions
5 Replies
350 Views
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Tutuba amesema kuwa Tanzania iko hatua za mwisho kutunga sheria maalum za kifedha ambazo zinafuata sheria za Kiislamu. Sheria hizo zitasaidia watu na...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote. Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki. Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na...
8 Reactions
11 Replies
448 Views
Hivyo tu yaani. Maana kuna mambo yanatugharimu kama taifa kwa sasa. Hili lilikuwa ni chaguo lake kama running mate wa baba Jesy.. kumbe kete za draft zilikuwa zinapushiwa kuanzia 10 to 20 years...
4 Reactions
3 Replies
216 Views
Moja ya upepo ambao Tulia kausoma ni ule wa ICC. Mambo yanazidi kuiva ni suala la uvumilivu tu wanachukua mda mlefu kufanya uchunguzi ila watanzania mtaenda kuona na kusikia mengi. Moja ya vitu...
3 Reactions
3 Replies
295 Views
Wakuu, nawasogezea stori (mkasa ulionikumba mwaka 2013). Nisisahau jadi ya watanzania, hamjambo wote? Watoto wenu hawajambo? Wakuu, ilikuwa hivi, mwaka 2013 mwezi wa 11, kipindi hicho nikiwa...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakubwa shikamooni, Leo ni siku nzuri yenye furaha ikiwa ni katikati ya mwezi wa kumi na moja. Kwangu ni siku nzuri na ya muhimu,lakini pia ni siku nimeletewa zawadi fulani na boss,dada na...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Huyu kijana yupo kwenye ile video ya Mwananyamala ambayo wanasema sio video ya hapa Tanzania. Mwanamitandao Muna Love aliwahi kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kijana huyo anatafutwa...
11 Reactions
28 Replies
1K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotarajia kunufaika na fedha kiasi cha hadi dola milioni 20 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kupitia Mfuko...
1 Reactions
2 Replies
195 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimeanza kuwa na huruma sasa na huyu mama Kwanza huko YouTube upande wa viewers anatia huruma Pili hakuna ambaye anamsikikiza tena kila mtu...
8 Reactions
9 Replies
459 Views
Kazi ya wasabato ni kushika tu sabato au kuongoza watu kufanya haki kwa muujibu wa unabii ? watu wamekufa na kuibiwa haki zao wasabato mbona hamuongelei hili suala? Mimi naweka unabii hapa wa...
4 Reactions
12 Replies
344 Views
Bila Salamu., Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili...
39 Reactions
79 Replies
3K Views
ULIMWENGU HAUNA NJE WALA NDANI ,YANI NDANI NDIO NJE ,NJE NDIO NDANI •Katika maisha ya kawaida, tunaelewa ndani na nje kwa mfano wa boksi au chumba,ukiwa ndani ya nyumba kuna dari, ukuta, na...
2 Reactions
3 Replies
290 Views
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewakabidhi Bodaboda wa Jiji la Arusha kiasi cha Shilingi 1,200,000 kwa ajili ya kutengeneza mfumo wa kuwezesha kusajili Bodaboda za Jiji la Arusha na...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Back
Top Bottom