Guru Dev
JF-Expert Member
- Jun 25, 2025
- 487
- 678
Nchi ikiwa imegawanyika..na raia wengi hawapendi mambo yanavyokwenda..na.wanakandamizwa..je? Haiwezi kua mwanya mzuri kwa maadui wa nje kupitia Humohumo kupitia kwa wananchi kuja kuingia nchi yetu kiulainiii kabisa huku wakipata sapoti ya wananchi??
Wa Tanzania hatuna mambo mengi..wala hawandamani kudai wapewe hela au bei za vyakula kua juu...wala hawana wivu mbaya na maendeleo ya watu..
ILA
UKANDAMIZAJI NDIO UMEFIKISHA HAPA
..Huko juu hivi hakuna watu kabisa wa kukaa kamati iliyotimia ili yafanyike mambo ya renconsiliation ili watu mioyo ipone..tujifunze kwenye october 29..kwamba yule joka aliyeyalala kwa waoga ameamka tena amechafukwa haswa..
Mbinu zibadilishwe za ku deal na hizi mambo..
MZEE KIKWETE KWANINI MBINU ZAKO ZA UONGOZI USISHAURI ZAMIKATUMIKA HAPA???
MAana baada ya magufuli kua madarani na life kua tight..ikaonekana bora utawala wa kikwete upande wa uchumi..lakini uwajibikaji ukawa bora upande wa magufuli...
Lakini UTEKAJI kwa Kikwete ni kama haukuepo..mbali na kuwepo scandal za epa. Escrow..lakini ilionekana sii big deal kwakua amani ipo na mkate wa kila siku upo
Hivyo Wakuu msifikiri kwamba watz wanahitaji mambo mengi
Fanyeni namna kabla wakina kainerugaba na kagame hawajasema ziwa victoria..ziwa tanganyika na bahari ya hindi ni yao ila tu walikuaga wamesahau