Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam, Shalom. Tanzania kuibeba Dunia, Hilo tu tayari ni HOJA fikirishi. Kabla sijaenda ninakotaka kuelezea, ZIFUATAZO, ni sifa za Nchi hii ambazo, huwezi kuzipata Mahali pengine popote duniani...
8 Reactions
40 Replies
4K Views
Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi Ghafla...
2 Reactions
3 Replies
241 Views
Mchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani...
3 Reactions
20 Replies
930 Views
Extortion au a protection racket kwa kutumia mgongo wa Shetani, ni mbinu wanayotumia Wachungaji kujipatia fedha kutoka kwa Waumini wao Je wanafanyaje? Kwasababu imeshazoeleka kuwa Shetani ni...
5 Reactions
12 Replies
398 Views
Tukutane Tupeane michango
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Kwa yaliotokea iwe funzo kwa wote wanaopenda kuharibu miundo mbinu kwa malengo ya kiasasa, ni upumbavu kuchoma miundo mbinu ambayo unaitumia wewe mwenyewe
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia...
4 Reactions
3 Replies
269 Views
Rais Samia afungua Bunge la 13, atoa msamaha kwa watuhumiwa wa uhaini, aahidi marekebisho ya Katiba na kutoa wito wa Maridhiano Rais Samia akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025, ameanza kwa...
2 Reactions
1 Replies
175 Views
Chama cha Mawakili wa Serikali chalaani vikali vurugu na maandamo ya Oktoba 29, wadai maandamano hayakuwa halali Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kimelaani vikali vurugu, mauaji na...
2 Reactions
0 Replies
166 Views
Fikiria Mungu kama mtengenezaji (manufacturer) wa kifaa cha kipekee sana, kifaa ambacho hakina duplicate, hakina serial number nyingine, na hakina manual inayoweza kuelezea kila undani. Hicho...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
7 Reactions
78 Replies
3K Views
Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na...
2 Reactions
7 Replies
446 Views
  • Featured
Na: Jumanne Mwita Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi. Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu...
24 Reactions
59 Replies
3K Views
Yuko wapi mtoto wangu? Wiki mbili baada ya kutokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Tanzania, mama huyu bado anamtafuta mtoto wake anayedai kuwa alikamatwa na vikosi vya usalama. Vijana wengi waliuawa...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
ONYO: Maudhui ya kutisha. BBC yathibitisha video za mauaji yalitokea wiki ya uchaguzi nchini Tanzania. Tumethibitisha baadhi ya video hizo kwa kutumia picha za setalaiti na kulinganisha maeneo...
22 Reactions
66 Replies
3K Views
Kupata jibu la swali hili, huna budi kutafakari Kanuni ya Uvutano (The Law of Attraction) inayofanya kazi sambamba na Kanuni ya mtetemo (The law of Vibration) Kanuni hii nasema hivi; "Kila kitu...
1 Reactions
4 Replies
427 Views
Ndiyo habari njema. Watawajibika kuwatambua watoto wao, kuwalea na most likely watoto kupewa uraia wa Uingereza. Hii imewezekana kwa kutumia technology ya DNA paternity test. Nadhani mtoto akiwa...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
2 Reactions
35 Replies
954 Views
Back
Top Bottom