shuve
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 312
- 103
Serikali ilisema imemsimamisha mchimba ugongo maeneo ya MTEKE wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Ila huyu jamaa bado tu anazidi kuchimba na kusafirisha na kupeleka Mombasa ambapo ndo unachujwa kabla ya kupelekwa nje ya bara la Africa! Mmiliki huyo mwenye kampuni ya WILLY ENTERPRISES ndo kwanza anazidi na maeneo hayo udongo unapo tolewa haija fahamika kwamba pata zibwaje?
Istoshe kunatajiri mwingine nae anae itwa NJAKE na ajiunga huko pia! Huyu jamaa ana sheli nyingi tu hususani mikoa ya kaskazini! JE? SERIKALI NI INAWAOGOPA AU NI NINI WANANCHI WANAPATA SHIDA! Na bado mpaka sasa haijajulikana nn kinapatikana kwenye udongo huo!