Picha: Nyerere mdogo!

Picha: Nyerere mdogo!

Mwitongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2009
Posts
312
Reaction score
362
Joseph Nyerere.jpg

Wadau, nimekutana na picha hii ya mtu anayefanana sana na Baba wa Taifa. Wapo wanaosema ni yeye, lakini wengine wanasema ni mdogo wake. Mwenye kumjua atusaidie.
 
nadhani ana mtoto wake ndio anamiliki baa ya calabash na pia huwa ni mwimbaji anaitwa Milton.....pia ana kampuni ya ujenzi inaitwa aquifer
 
nadhani ana mtoto wake ndio anamiliki baa ya calabash na pia huwa ni mwimbaji anaitwa Milton.....pia ana kampuni ya ujenzi inaitwa aquifer

Ni kweli na ni kaka wa huyu Marehemu MAZEMBE....Ana bendi inaitwa GURUMETI

viewer.png


WATEJA NDANI YA KIOTA CHA CALABASH

SAM_1977.JPG
 
Namkumbu sana huyu mzee Joseph! Mara ya kwanza kumjua nilikutana naye enzi zile 77 Hotel Arusha usiku alikua anaupenda sana muziki wa dansi - R.I.P
 
SAM_1977.JPG



Hii picha imepigwa kutokea FUTURE siku, mwezi na mwaka ukienda hapo Calabash lazima utawakuta hao raia...
 
klwa+nyrr.jpg



Ukimuangalia kwa haraka haraka unaweza kudhani ni Babu Ambilikile wa Samunge, Loliondo
 
wala hafanani na Julius Kambarage Nyerere - R.I.P - kwa mbali sana - THATS MY EYES
 
Mbona hawafanani? au ni kwa sababu ya huo mustachi!!!
 
Back
Top Bottom