Mwandish wa tz daima agongwa

Mwandish wa tz daima agongwa

Sasa mbona jhuelezi chochote?? Kagongwa na KITU KIZITO au kagongwa na nini??? Funguka tuelewe basi
 
kagongwa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!unamaanisha nini
 
ungesubiri habari ikamilike ndio uje nayo hapa,unaandika kama unakimbizwa na ffu
 
"Kagongwa" ina maana nyingi mtaani siku hizi...fafanua mkuu.
 
....Halafu kama hiyo SOS uliyoandika ulikuwa unamaanisha SOURCE, Ndio kabisaa umezidi kuchanganya mambo!:confused2:
 
Kagongwa na nyoka au mwanaume. Kugongwa kuna maana nyingi mkuu. Fafanua!
 
Tatizo ni kutokuwa na utulivu wakati wa kufanya masuala ya msingi!! Huyu anakosa utulivu, umakini na pengine hekima. Huwezi kuweka habari kama hii then utegemee kila mtu anajua unayowaza au uliyoona au kusikia. Mkuu rudi urekebishe taarifa yako.
 
Huyu amekosea njia,bila shaka alipanga kuingia facebook lakini bahati mbaya amejikuta JF.Si mnajua facebook watu kama hawa wanajiandikia---dada ni mjamzito kisha wenzie wana like na kutoa comment.Hii siyo aina ya habari zinazotakiwa JF kwa sababu haituelezi nani kafanya/kafanywa nini,na nani,wapi,lini na kwa nini?
 
Kamanda wa Iringa kafanya mambo tena.Nampenda sana yule kamanda anajua majukumu yake ya kutuliza kelele za chura.Sasa hivi wamenywea
 
Mtoa mada hajajipanga kikamilifu. Amekurupuka.


MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom