Huyu mwanafunzi bila shaka alikuwa ni mtanzania. Ila nafikiri alisahau kumalizia kitu hapo. Future impossible tense under the ruling of CCM (sijui English yake inaandikwa hivyo? - au under the...
Kumetokea jali ya JET FIGHTER, ilikuwa katika mazoezi ya kawaida, ilipotaka kutua ikashindwa kusimama, rubani na msaidizi wake waka opt kuruka, wote walifanikiwa kuruka na viti vyao lakini mmoja...
Wakuu kuna tetesi kuwa kinjekitile ana mkono katika kituo cha mabasi ubungo na kuwa zile tiketi zinazokatwa pale asilimia kadhaa zinaenda kwake
Swali langu ule si mradi wa serikali(nakubali...
Jamani, aliyepoteza mini laptop yake anitafute.
Nilikupa lift jana jioni maeneo ya Posta, kwa bahati mbaya ukaisahau laptop yako kwenye gari yangu.
Kwenye mazungumzo yetu ulijitambulisha kuwa...
hukumu ya aliyekuwa mbunge na anayeendelea na ubunge wake nje ya jimbo bwana Godbless Lema leo imetolewa maamuzi katika pingamizi lilokuwa limewekwa na upande wa pili. waheshimiwa majaji wa...
SIKU moja baada ya Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu kusema atawasilisha hoja ya kumshtaki Rais Jakaya Kikwete iwapo atashindwa kuwaondoa kazini majaji wasio na sifa aliowateua...
Nimesikitishwa sana na kauli ya Mkurugenzi mkuu wa TFDA Hiiti Sillo kuwa amefunga kiwanda cha dawa kilichopo Njiro Arusha baada ya kubaini kuwa ndicho kilichojusika kusambaza dawa bandia za ARVs...
Yamesemwa mengi baada ya kuanza usafiri wa treni jijini Dar es Salaam, wako walioipongeza serikali na wako waliobeza hatua hiyo na kutoiona kuwa ni hatua ya kimaendeleo. Je Watanzania tunapaswa...
Baada ya teknolojia ya simu kuingia Tanzania na mitandao ya simu kuenea kwa wingi, kumejitokeza kijitabia cha kusema Uwongo baina ya watanzania. Kwa mfano mko kwenye daladala kisha mtu anazungumza...
MCHANGANUAO WA GHARAMA ZA UZINDUZI WA JIJI LA ARUSHA.
1.Kikundi cha Orijino comedy Tshs 12mil
2.Msanii Diamond Tshs 10mil
3.Fulana 3,000 Tsh 26mil
4.Mapambo uwanja wa mpira Tsh 4,517,500...
1. ni mtalaam wa kuzima hoja za wabunge.
2. anaunda kamati na uchunguzi wake anaweka kabatini.
3. anavunja kamati na hawezi kuunda mpya.
4. anakimbiwa na wabunge wakati bunge likiendelea.
5.....
Naombeni msaada wenu wanajamvi ,najua hapa ni ukweli mtupu juu ya huduma za kununua magari Japani kupitia kwenye mitandao.Kuna hii huduma ya PayTrade iliyopo kwenye mtandao wa Car trade view...
Hakuna ambacho Baba wa Taifa hakutuonya, sisi tumeendelea kufanya shingo ngumu na sasa tumeyaona. Mambo muhimu kama hayo inapahwa yawe state owned/controlled Kuweka masuala ya Nishati mikononi...
Hii fursa ya uhuru huko kwa wenzetu inawafanya watu waanzishe vyama vya ajabu ajabu,kuna chama huko usa kinaitwa marijuana reform party. Kazi yake ni kutetea "jani tu"sijui ingekuwa hapa kwetu...
Katika gazeti la Mwanachi la tarehe 7th November 2012 kuna makala iliyoandikwa na Bw. Daniel Mjema ikimtaka Rais amwajibishe Waziri Maghembe kwa kuteua Bodi ya Wakurugenzi kinyume cha kanuni. Bw...
makame silima 07/11/2012 kwa 5:43 um · Ingia kujibu
Mara hii Wahafidhina wa ccm /smz na madume wao wa Tanganyika wameunowa na kunasa Pabaya.
Wameingia gizani na hawamjuwi aduwi wao ni yupi ?,mara...
Kila kinachotokea nchini viongozi na baadhi ya raia wenye maslahi huhimiza kuachiwa mihimili ya dola ifanye kazi zake.
Kwa hakika hizi ni hadithi tu za kisiasa lakini kupitia mahakama,bunge na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.