C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,771
Wakuu kuna tetesi kuwa kinjekitile ana mkono katika kituo cha mabasi ubungo na kuwa zile tiketi zinazokatwa pale asilimia kadhaa zinaenda kwake
Swali langu ule si mradi wa serikali(nakubali kusahihishwa)
Sasa kinjekitile kaingiaje hapa (still ni tetesi)
Maombi yangu
Kama kuna mtu anajua hizi tetesi maana nilishawahi zisikia siku nyingi atuhabarishe maana zinaweza kuwa ni another Epa, Twin tower
Maybe ni habari za mtaani so kama kuna mtu anajua about it atueleze pumba ni zipi na ngano ni zipi kama ni habari za mtaani its ok
Ila kama kuna ukweli ndani yake wakuu wa pipooooz poweeer kuna kaufisadi ambao kanaonekana kujificha hapa
Maana narudia tena hizi habari naendelea kuzisikia
Na kama mjuavyo INJII hii (mrema style) ni zaidi ya tuijuavyo mimi wewe na yule