Vyama vingine ni balaa.......

Vyama vingine ni balaa.......

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
Hii fursa ya uhuru huko kwa wenzetu inawafanya watu waanzishe vyama vya ajabu ajabu,kuna chama huko usa kinaitwa marijuana reform party. Kazi yake ni kutetea "jani tu"sijui ingekuwa hapa kwetu kama tendwa akekiruhusu kuleta hata mambi ya kusajiliwa!ila jamaa nao wana vyama utitiri ila havivumi kama hivyo viwili
 
Back
Top Bottom