Yamesemwa mengi baada ya kuanza usafiri wa treni jijini Dar es Salaam, wako walioipongeza serikali na wako waliobeza hatua hiyo na kutoiona kuwa ni hatua ya kimaendeleo. Je Watanzania tunapaswa kujivua kwa hili kwamba, ni hatua moja mbele na imesadia kupunguza adha ya usafiri?