Nianze kwa masikitiko makubwa kutoa taarifa juu ya kile kilichojiri kwenye harusi ya ndugu yangu Victor iliyofanyika katika ukumbi wa police jamii hapa dodoma usiku wa kuamkia tarehe...
nilishawahi Kupost hapa kuhusu Wanyarwanda waliojimilikisha Ardhi na kuanza ufugaji na wakati suala hilo ktk Itifaki ya EAC halipo. Pia uongozi wa juu wa Wilaya unajua fika kuwa nani anaemiliki...
Utafiti wa siku za karibuni kabisa tena wa kisayansi kupitia taasisi moja ya kimataifa umeonyesha asilimia zaidi ya 50% ya machangudoa nchini Rwanda wameambukizwa Virusi Vya Ukimwi.
What about...
http://www.mwananchi.co.tz/Makala/-/1597292/1620748/-/99e82c/-/index.html
Soma hiyo link hapo wanakijiji wa Chumbi C huko rufiji wamegawa ardhi ekari 2300 kwa viroba 120 vya Unga wa mahindi
Hivi...
unakuta mtu (jamaa ako mnafaamiana) katoka zake kwenye mitkasi yake kachoka anafika ofisin kwako (saloon)anafanya ndo pakupumzikia yaan full usingiz mchana mchana..
nnimekua nkijiuliza ccm atatokea wap kwan kila kona ana adui,visiwan anakabwa koo na UAMSHo na bara anabanwa koo na CDM ila cha ajabu zaidi hapa n kwamba maadui hawa wawili hata hawapikii chungu...
Siwezi ficha hisia zangu jinsi gani nakwazika kwa kukosa gazeti la mwanahalisi.Ki ukweli naichukia serikali kwa hilo,tena chuki mbaya sana.Sioni gazeti jingine ambalo ni worth my hard earned...
General knowledge !
An eye for eye will only end up making the whole world blind. -- Mahatma Gandhi
Be a Reason for Million Smiles..But Never be a reason
for even a single Grudge...
Good Morning...
Ndugu,
Nakusalimu katika Utumishi wa Umma.
Natumaini u mwenye afya njema ukiendelea na kazi uliyosomea na sasa unaongeza tena degree kwa kasi. Basi nikutakie mafanikio mema maana ndiyo kazi...
Ajali ya kwanza kubwa ipo pale ktk makutano ya Sokota, Temeke, lori lililobeba mbao limegonga gari jingine limeharibika vibaya sana na mbao kibao zimemwagika. Ya pili imehusisha magari manne pale...
Namuulizia mtangazaji wa michezo wa TBC1 Pendael Omari simuoni siku hizi akitangaza. Nilikuwa napenda sana utangazaji wake,ghafla simuoni zaidi ya miezi sita akitangaza.
Ni swali ambalo najiuliza kila mara lakini sipati jibu lake,leo naomba wana jamvi mnipatie majibu juu ya swali langu kuu kwa siku ya leo.Hivi hapa nchini kwa sasa hakuna kazi zingine za kufanya...
tanzania, kama taifa tunalo jivunia kuwa na amani na usalama...ni kweli pengine kuna amani na usalama kwa mitazamo ya haraka.... lakini richa ya sifa hizo nzuri,,ebu tujifananishe na jirani zenu...
Hivi mwanamke akiwa Rais , na akajifungua , Siku kuu inakuwa siku ngapi? Au marais wanawake waanze kazi hiyo baada ya umri wa miaka 60?
Tukiangalia upande mwingine wa USA wana rais wa 44 sasa na...
Vijana watatu machinga wamepigwa risasi na Polisi maeneo ya Miti Mirefu mmoja risasi ya kifuani, mwingine mkononi na kichwani baada ya Police kwa kushiriana na mgambo wa jiji kutaka kuchukua mali...
Kila akili ya mtazania wa leo aishie mjini na vijijini amewafahamu mapacha hawa watatu ambao ni:
1)CCM
2)TANESCO
3)TIGO
Haiwezi kupita dakika bila mtanzania kuwatukana hawa mapacha watatu...
Mtangazaji wa ITV michezo anatupa habari zingine za kina Mess na Pele bila kutaja habari za timu yetu iliyocheza na kushinda leo! Habari gani ina uzito zaidi ya hii? Tuenzi vyetu kwanza.
Upepo wa mabadiliko unaoikumba dunia sasa unavuma ndani ya Ulaya na Marekani.
Tujaalie upepo huu unaweza kuisambaratisha Marekani,taifa lenye nguvu duniani na yaliko makao makuu ya Umoja wa...
1.Walistahili/Hawakustahili kupata Shahada za Heshima za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mtangulizi wake East African College?
2. Wanajiita Dr. kwa Shahada hizi za heshima?
3. Wameifanyia nchi...