yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
nnimekua nkijiuliza ccm atatokea wap kwan kila kona ana adui,visiwan anakabwa koo na UAMSHo na bara anabanwa koo na CDM ila cha ajabu zaidi hapa n kwamba maadui hawa wawili hata hawapikii chungu kimoja.naanza kuhofia CCM wanaweza wakakukuluka hapa mwisho wa siku.