Asilimia 50 ya machangudoa Rwanda wana VVU

Asilimia 50 ya machangudoa Rwanda wana VVU

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
3,605
Reaction score
552
Utafiti wa siku za karibuni kabisa tena wa kisayansi kupitia taasisi moja ya kimataifa umeonyesha asilimia zaidi ya 50% ya machangudoa nchini Rwanda wameambukizwa Virusi Vya Ukimwi.
What about Tanzania?


Source:ITV(Habari)
 
Ikizingatiwa kuwa wanawake wa kinyarwanda wanadaiwa wana Figure za ukweli sana, wanaume watapona kweli?
 
Nahisi machangudoa wa TZ ni waoga sana,naamini wengi hawakubali bila kinga
 
Ulijuaje kuwa wanajali sana kinga na wako sehamu gani hao ma-cd wa tz
 
Ulijuaje kuwa wanajali sana kinga na wako sehamu gani hao ma-cd wa tz
kama ni kweli basi mji wa Kahama watakwisha,wamejaa pale mitaa ya Bijampola wanauza buku 2 tu na niwazuri ile mbaya,yaelekea na uhamiaji ni wateja wao.
 
Wanawake 7,500 wajihusisha na biashara ya ngono Dar es Salaam: WANAWAKE 7,500 wanakadiriwa kufanya biashara ya ngono mkoani Dar es Salaam huku asilimia 31.4 ya wanawake hao wana maambukizi ya virusi vya Ukimwi ukilinganisha na asilimia 10.4 ya maambukizi kwa wanawake wote wa mkoa huo (SOURCE:nimesahau kidoooogo)
 
tanzania hatunaga hiyo biashara sie tuna ajira 1mil,ingiwalenga jinsia pendwa
 
Back
Top Bottom