wadau naomba msaada wenu,HIV I KUNA MGAO WA UMEME AU KUNA TATIZO GANI? MAANA HAPA MUSOMA TANGU ASUBUHI HAKUNA UMEME. Je,hali ikoje hapo ulipo???
hakuna cha muhongo wala mwongo hapa ni ful kukata umeme tu kila siku mdau[/QUOTE]Huko si ndiyo anatoka Professor Sospeter Muhongo?!
Ninasikia Muhongo anasisitiza kwamba mgao haupo ila kuna njama za kuihujumu TANESCO na yeye pia.
Huku mtwara upo wa kumwaga, wiki yote hii tunafaidi tu.