Nimekutana na ajali 4 asubuhi hii

Nimekutana na ajali 4 asubuhi hii

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
252
Reaction score
145
Ajali ya kwanza kubwa ipo pale ktk makutano ya Sokota, Temeke, lori lililobeba mbao limegonga gari jingine limeharibika vibaya sana na mbao kibao zimemwagika. Ya pili imehusisha magari manne pale Tabata Matumbi, kuna ambao walikuwa wamegongana hapo lkn wengine kwa sababu ya mwendo kasi na kukosa umakini wakaja wakajiingiza hapo. Yule aliyegonga mwishoni alinipita Uhasibu speed sana wote tukiwa tunatokea Mbagala. Ya tatu imehusiha gari saloon toyota ambayo imeigoga kwa nyuma toyoya hilux ktk foleni ya Tabata, wote wanatokea Ubungo kwenda mjini. Ya nne ipo Exteno, jamaa wanaotoka Buguruni na kuingia short cut ya exteno ili waende Maziwa walijikuta wakienda sambamba na kugongana wakati wanaingia ktk barabara hiyo ya vumbi, mmoja mwenye Toyota Hilux alikuwa na haraka ya kumpita jamaa mwenye Excodo ktk kona hiyo.

Madereva tupunguze haraka na udhembe barabarani.
 
wakati mwingine ni uzembe na kujifanya kila mtu ni hodari
 
Bila matukio hayo hatutaweza kufikia takwimu zetu za kuongoza kwa ajali kwa mwaka. Hizo umeziona wewe tu, usizoziona dar pekee hautaamini, au umeasahau za bodaboda pekee ni zaidi ya 45 kwa siku kwa wanaofika muhimbili tu? Watanzania wengi hatuthamini maisha si barabarani tu, tunakula hovyo, tunatumia muda hovyo, tunajenga nyumba hovyo, tunaruhusu bidhaa na madawa hovyo, tunachafua mazingira hovyo, mambo mengi hovyo. Elimu inahitajika. Kila mmoja akitimiza wajibu wake sehemu yake, tutapona.
Ajali ya kwanza kubwa ipo pale ktk makutano ya Sokota, Temeke, lori lililobeba mbao limegonga gari jingine limeharibika vibaya sana na mbao kibao zimemwagika. Ya pili imehusisha magari manne pale Tabata Matumbi, kuna ambao walikuwa wamegongana hapo lkn wengine kwa sababu ya mwendo kasi na kukosa umakini wakaja wakajiingiza hapo. Yule aliyegonga mwishoni alinipita Uhasibu speed sana wote tukiwa tunatokea Mbagala. Ya tatu imehusiha gari saloon toyota ambayo imeigoga kwa nyuma toyoya hilux ktk foleni ya Tabata, wote wanatokea Ubungo kwenda mjini. Ya nne ipo Exteno, jamaa wanaotoka Buguruni na kuingia short cut ya exteno ili waende Maziwa walijikuta wakienda sambamba na kugongana wakati wanaingia ktk barabara hiyo ya vumbi, mmoja mwenye Toyota Hilux alikuwa na haraka ya kumpita jamaa mwenye Excodo ktk kona hiyo.

Madereva tupunguze haraka na udhembe barabarani.
 
Jana nilijifanya nina endesha kwa spidi ,nikamuovatake jamaa ,duh mbele kuna kona ikanishinda nikajikuta mtaroni!...
namshukuru Sir God...ila nimekomapo
 
Safari yako ingeendelea hadi tegeta ungekutana na nne nyingine.
 
Wapi hapa?
 
Jana nilijifanya nina endesha kwa spidi ,nikamuovatake jamaa ,duh mbele kuna kona ikanishinda nikajikuta mtaroni!...
namshukuru Sir God...ila nimekomapo

Pole mh. Nimejifunza speed zetu mjini huwa hazina faida yoyote, na kwa ukweli wengi wanaokimbia ni fujo tu lakini hawana cha kukimbilia namna hiyo. Ukimpita mtu hapa, baada ya dakika mbili anakukuta ktk mataa au foleni.
 
Back
Top Bottom